Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Sasa iyo inathibitishaje uwepo wa Mungu?
 
Tatizo hujui hata problem of evil ni nini.

Hapa naona kama naanza kumfundisha guluguja string theory.

Hatupo kwenye level moja.

Inabidi nianze kukufundisha kwanza, uhitimu, halafu ndiyo tuanze kubishana, kama utakuwa na cha kubishana.

It is very frustrating arguing with ignorant people.
 
That's how the universe works, sasa wewe ulitakaaje?
Hizi points zako hazijustify kutokuepo kwake
Kwa mujibu wako, unahisi ni kwa vipi ulimwengu uliweza kuwa at this precision? Variables like Time, distance of the planets, angular speed ya galaxies, planetary motions, How come they all came to balance.
Galaxies zinaspin at a very high frequency, mpaka now scientists wamereason eti kutakuwa na dark energy (invisible to us) yenye inabalance centrifugal force from galaxy spins, kama binadam umepewa uwezo wa kufikiria na unaamini uwepo wa hii dark energy alafu huamini uwepo wa Mungu unahisi uko timamu??? What if, there's no damn dark energy but God is there to keep the balance?
 
Ila watu mnaomini mnanishangaza sana, mwanzoni mna Mungu wa aina mbili, wa kwanza hamumjui, hamuwezi kumshika , kumuona Wala kumsikia, Mungu huyu wa kwanza mnamuongelea mkiwa na maswali kama Dunia ilitoka wapi?, kwanini Kuna gravitational force? Au binadamu alitoka wapi?. Afu baada ya hapo mnaleta ujanja, mnamleta Mungu wa aina ya pili, huyu mnamjua sana, mnajua anapenda tufanye nini, tusifanye nn, tule na tusile nn, mnajua anataka tuvae vipi, tumchague nani kama kiongozi wetu, na mnajua pia anavyotaka tufanye mapenzi.
Sasa mi naulza, ni Mungu gani mnamuongelea hapa wa aina ya kwanza au wa pili?
 
Ukishaandika "existance" naona najibizana na mtu illiterate.

Yani kabla sijasoma mada yako nakuona ngumbaru hujui kuandika.
ama kwa hakika

"Atheist wana mtindio wa ubongo"

mtafute atheist mwenzio kisha msome kwa hatua !
 
Na hakuna uhusiano wowote, kati ya kutojua chanzo Cha ulimwengu au uwepo wa uhai Duniani, na kutokuvaa sketi fupi, kutokunywa pombe, au kula nguruwe.. hii ni contradiction.. Sasa mtu anaeamini uwepo wa Mungu atakwambia, hatujui nini Kiko nyuma ya nature kwa hiyo usile nguruwe, uoe mke mmoja, au wanne... N.k
 
we jamaa naona unatafuta namna ya kuukimbia mjadala baada ya kuona hamna kitu kipya unaongea
 
Uzi bora kabisa tangu JF ianzishwe
 
Eti "Kwanini kuna gravitational force" then what???
Sasa uwepo wa gravity ndo unaashiria Mungu hayupo ama? Wewe ulikuwa hutaki iwepo?
 
Ukijiuliza kwa makini kuhusu origin ya ulimwengu and life-forms, conclusion inayomake sense ni uwepo wa Mungu tu basi
 
kaka una pepo yako,🙏🙏🙏🙏akili nyingi sana! kwanza umewezaje kufikiria nje ya box kusaidia wengine? ni dhahiri kuwa unaumia kuona watu wanakufuru uwepo wa mungu. na mungu akubariki na akuongezee maarifa katika kutoa elimu kwa jamii hasa katika zama hizi ambapo wimbi la kukufuru linakua kwa Kasi kama masikhara lakini wanamaanisha kabisa hakuna mungu! inalilah wa inalilah rajiun
 
mantiki ya uzi ni kuonyesha uwepo wa Mungu kabla hata ya kutumia maandiko ya dini

wewe unavyoanza kuongelea mambo ya nguruwe n.k umehamia kwenye Dini

Baada ya kukubaliana yupo bila ku reference Dini yoyote, ndo tutahamia sasa kwenye Dini.

Hakuna wakwanza wala wapili aliyeongelewa ni wewe umeamua kuchanganya madesa na unajiletea contradiction mwenyewe,

"soma kwa hatua"

ndo maana inasemekana
" Atheists wana mtindio wa ubongo"
 
Sasa kaka, utaongelea vipi uwepo wa Mungu, bila dini, wakati izo hadithi za uwepo wake umefundishwa kwenye dini?
 
we jamaa naona unatafuta namna ya kuukimbia mjadala baada ya kuona hamna kitu kipya unaongea
Nikimbie mjadala na mtu ambaye hajui hata problem of evil ni nini?

Mimi.nimefanya mjadala na Alvin Plantinga na kumshinda.

Unamjua Alvin Plantinga wewe?
 
Ukijiuliza kwa makini kuhusu origin ya ulimwengu and life-forms, conclusion inayomake sense ni uwepo wa Mungu tu basi
Umeconclude vipi? Una uthibitisho kuwa yupo? Naomba unithibitishie uwepo wake, achana na Quran, nithibitishie ww kama wewe uwepo wake
 
Nikimbie mjadala na mtu ambaye hajui hata problem of evil ni nini?

Mimi.nimefanya mjadala na Alvin Plantinga na kumshinda.

Unamjua Alvin Plantinga wewe?
simjui,

hili bandiko limekua Powered By Nature

you can't compete

kumbe wewe umekuja na mentality ya kushindana ?
 
simjui,

hili bandiko limekua Powered By Nature

you can't compete

kumbe wewe umekuja na mentality ya kushindana ?
Ngoja nikusaidie, problem of evil Iko hivi, kama kweli Mungu yupo kwanini Kuna mema na mabaya? Haya mjibu Kiranga kuhusu hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…