Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Sasa wewe si unajua Mungu huyo yupo, leta ushahidi wa hakika.Hii haiwezi kuwa sababu, sababu inaonyesha uongo wa wazi. Kitu ambacho hakijawahi kuwepo huwezi kukijua mpaka ulete ushahidi wa hakika.
Kitu ambacho unajua kipo, unashindwaje kukileta hapa kijidhihirishe kipo?Hapa umeandika sentensi isiyo kuwa na maana katika lugha na kiakili pia.
Nakuuliza swali rahisi kitu ambacho hakijawahi kuwepo umeijuaje au unakijuaje ?
Mlete huyo Mungu wako kama yupo aje hapa mwenyewe ajidhihirishe yupo!