Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Mimi nna akili zangu timamu, Hiki unachokisema ndio mfumo wangu wa maisha ulivyoUkitaka kujijibu maswali yanayokusumbua ondoa Vitabu jiweke Wewe km Wewe alafu anzia hapo mnajibu majibu ya Watu wengine nyinyi wote hamna majibu
Unatumia kitabu gani kukuongoza Wewe km Wewe? Hivi umenielewa ninachomaanisha?Mimi nna akili zangu timamu, Hiki unachokisema ndio mfumo wangu wa maisha ulivyo
Kwahiyo sitegemei kitabu chochote cha dini kuniongoza.
ahaa sawa mkuu...Hiyo ni kwa mujibu wa atheist mmoja hapo juu, Ukisoma hadi mwisho kuna swali nmeuliza ( nmemuuliza )
Sitaki mtumie kitabu chochote kuutafuta uwepo wa MUNGU jitumie Wewe km Wewe bila kutumia kitabu chochote alafu njoo na majibu usimsahau kumwambia Kiranga hatutaki mambo yake ya kutumia Vitabu tunataka logic yake yeye km yeye anaonaje bila kufanya reference ya Vitabuahaa sawa mkuu...
Kama huyo Mungu ni highest power beyond human understanding, Ulijuaje yupo?Mungu, ni highest power, beyond human understanding...
Hata Dunia ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.Alikwepo Yupo na Ataendelea kuwepo
Ulimwengu wenyewe ndio Highest power.kutokana na principle za physics na Science, kitu hakiwezi kuwepo tu kwaiyo kusikia watu walio base kwenye science wanasema kitu fulani "kilikwepo tu"
ni jambo la kushangaza na pia inaonyesha wame agree kwenye Super natural power beyond human understanding hatakama wanasema hawa agree
hatujatumia kitabu, soma uzi unaeleza kabisa bila kutumia maandikoSitaki mtumie kitabu chochote kuutafuta uwepo wa MUNGU jitumie Wewe km Wewe bila kutumia kitabu chochote alafu njoo na majibu usimsahau kumwambia Kiranga hatutaki mambo yake ya kutumia Vitabu tunataka logic yake yeye km yeye anaonaje bila kufanya reference ya Vitabu
Huyo Mungu anatafutwa kwani amepotea?Sitaki mtumie kitabu chochote kuutafuta uwepo wa MUNGU jitumie Wewe km Wewe bila kutumia kitabu chochote alafu njoo na majibu usimsahau kumwambia Kiranga hatutaki mambo yake ya kutumia Vitabu tunataka logic yake yeye km yeye anaonaje bila kufanya reference ya Vitabu
Ndio nasisitiza msituletee habari za kwenye Vitabu humu tunataka vichwa km vichwa vyenu sio mnacopy kwa Wazungu mnakuja kujimwambafai hapa wakati wenyewe hawajui lolote Wewe unaniambia Dunia Ina miaka billion 9 na binadamu ameanza kuishi miaka laki 3 baada ya Dunia kuwepo, ebwana rudisha kitabu chako njoo na Akili yakohatujatumia kitabu, soma uzi unaeleza kabisa bila kutumia maandiko
Rudia kusoma nlichokiandika, UtanielewaUnatumia kitabu gani kukuongoza Wewe km Wewe? Hivi umenielewa ninachomaanisha?
MIMI ni MUNGU haya sema kingine nikusikieHuyo Mungu anatafutwa kwani amepotea?
Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe na ajidhihirishe yupo yeye kama yeye.
Mnahangaika sana kumuongelea Mungu ambaye hayupo na hajawahi kuwepo kujiongelea mwenyewe na kujidhihirisha.
Sitaki mtumie hayo mavitabu yenu ya Wazungu tumieni Bongo zenu nyinyi km nyinyiRudia kusoma nlichokiandika, Utanielewa
Doh! Kuna kinywaji au mmea umetoka kutumia mda huu chief ?Sitaki mtumie hayo mavitabu yenu ya Wazungu tumieni Bongo zenu nyinyi km nyinyi
kama sehemu huwezi kuifikia, hautajua kama ipo ?Kama huyo Mungu ni highest power beyond human understanding, Ulijuaje yupo?
Utafiti upi ulifanyika ukagundua huyo Mungu ni highest power beyond human understanding?
Ulitumia understanding ipi, kujua na kufahamu huyo Mungu yupo halafu ni highest power?
Au umebuni tu kichwani kwamba Mungu ni highest power, Na unataka kulazimisha mawazo yako yasiyo na uthibitisho wowote ule?
Hata Dunia ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.
Na dunia ina thibitishika ipo.
Ulimwengu wenyewe ndio Highest power.
Mungu ni jina uchwara tu lililoanzishwa kutokana na mawazo ya watu yasiyo na uthibitisho wowote ule.
Kuna ulazima upi wa kwamba Ulimwengu umeumbwa?=> Umehitimisha Dunia/ulimwengu havijaumbwa bali vilikuwepo tu
Sio tu hayupo pia hajawahi kuwepo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.=> Umehitimisha aliyetuumba hayupo
Kanuni niliyotumia ni hii,Umetumia kanuni gani kuhitimisha hayo ?
Rudia comment yangu nimekwambia nimezimua tu Ila sitaki mtumie hayo mavitabu yenu ya Wazungu kuja kujifanya mnajuuua kumbe ni empty set kabisa funga Vitabu njoo na Akili yako namaanisha usije na Akili uliyokaririshwa na hicho kitabuDoh! Kuna kinywaji au mmea umetoka kutumia mda huu chief ?
Ndio maana nasema Mungu ni jina tu, kama yalivyo majina mengine Juma, Abdala, Mohamed, Asha, Mwajuma, Diana.MIMI ni MUNGU haya sema kingine nikusikie
Aliyekwambia jua haliwezi kufikiwa ni nani?kama sehemu huwezi kuifikia, hautajua kama ipo ?
mfano Jua lile pale lakini hatuwezi kulifikia, lipo beyond uwezo wetu wa kufika huko,
Kwa nini unadhani lazima vitu hivi viwe vimetoka mahali?kama haipo beyond human understanding,
tuelezee clearly, dunia na vyote tunavyoviona vimetoka wapi,
Wala situmii Physics mimi.usiseme vilikwepo tu hilo jibu hatulitegemei kutoka kwa mtu anaetumia principles za physics
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Hata huyo Mungu lazima awe ameumbwa.na kama ukishindwa kuelezea, utasemaje haipo beyond human understanding ?
Mimi ni MUNGU niambie unasemaje kijana Mambo Vipi?Ndio maana nasema Mungu ni jina tu, kama yalivyo majina mengine Juma, Abdala, Mohamed, Asha, Mwajuma, Diana.
Mtu yeyote anaweza kujiita Mungu Ndio maana hata yule mama mfalme Zumaridi anajiita Mungu na ni kawaida.
Ila kusema kwamba kuna highest power iko mahali inaitwa Mungu ni UONGO.
Mungu ni jina uchwara tu.
Naomba nikuulize unifafanulie maana ya MUNGU.Kuamini Mungu ni sawa na ushirikina, ndio maana China ni taifa lisiloamini Mungu kikatiba, na iyo imewasaidia kupata maendeleo haraka, kuliko kupoteza mda kwenye nyumba za ibada.
Yani mtu yeyote anaweza kujiita Mungu.Mimi ni MUNGU niambie unasemaje kijana Mambo Vipi?