Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Ukitaka kujijibu maswali yanayokusumbua ondoa Vitabu jiweke Wewe km Wewe alafu anzia hapo mnajibu majibu ya Watu wengine nyinyi wote hamna majibu
Mimi nna akili zangu timamu, Hiki unachokisema ndio mfumo wangu wa maisha ulivyo

Kwahiyo sitegemei kitabu chochote cha dini kuniongoza.
 
Mimi nna akili zangu timamu, Hiki unachokisema ndio mfumo wangu wa maisha ulivyo

Kwahiyo sitegemei kitabu chochote cha dini kuniongoza.
Unatumia kitabu gani kukuongoza Wewe km Wewe? Hivi umenielewa ninachomaanisha?
 
ahaa sawa mkuu...
Sitaki mtumie kitabu chochote kuutafuta uwepo wa MUNGU jitumie Wewe km Wewe bila kutumia kitabu chochote alafu njoo na majibu usimsahau kumwambia Kiranga hatutaki mambo yake ya kutumia Vitabu tunataka logic yake yeye km yeye anaonaje bila kufanya reference ya Vitabu
 
Mungu, ni highest power, beyond human understanding...
Kama huyo Mungu ni highest power beyond human understanding, Ulijuaje yupo?

Utafiti upi ulifanyika ukagundua huyo Mungu ni highest power beyond human understanding?

Ulitumia understanding ipi, kujua na kufahamu huyo Mungu yupo halafu ni highest power?

Au umebuni tu kichwani kwamba Mungu ni highest power, Na unataka kulazimisha mawazo yako yasiyo na uthibitisho wowote ule?
Alikwepo Yupo na Ataendelea kuwepo
Hata Dunia ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.

Na dunia ina thibitishika ipo.
kutokana na principle za physics na Science, kitu hakiwezi kuwepo tu kwaiyo kusikia watu walio base kwenye science wanasema kitu fulani "kilikwepo tu"

ni jambo la kushangaza na pia inaonyesha wame agree kwenye Super natural power beyond human understanding hatakama wanasema hawa agree
Ulimwengu wenyewe ndio Highest power.

Mungu ni jina uchwara tu lililoanzishwa kutokana na mawazo ya watu yasiyo na uthibitisho wowote ule.
 
Sitaki mtumie kitabu chochote kuutafuta uwepo wa MUNGU jitumie Wewe km Wewe bila kutumia kitabu chochote alafu njoo na majibu usimsahau kumwambia Kiranga hatutaki mambo yake ya kutumia Vitabu tunataka logic yake yeye km yeye anaonaje bila kufanya reference ya Vitabu
hatujatumia kitabu, soma uzi unaeleza kabisa bila kutumia maandiko
 
Huyo Mungu anatafutwa kwani amepotea?

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe na ajidhihirishe yupo yeye kama yeye.

Mnahangaika sana kumuongelea Mungu ambaye hayupo na hajawahi kuwepo kujiongelea mwenyewe na kujidhihirisha.
 
hatujatumia kitabu, soma uzi unaeleza kabisa bila kutumia maandiko
Ndio nasisitiza msituletee habari za kwenye Vitabu humu tunataka vichwa km vichwa vyenu sio mnacopy kwa Wazungu mnakuja kujimwambafai hapa wakati wenyewe hawajui lolote Wewe unaniambia Dunia Ina miaka billion 9 na binadamu ameanza kuishi miaka laki 3 baada ya Dunia kuwepo, ebwana rudisha kitabu chako njoo na Akili yako
 
Huyo Mungu anatafutwa kwani amepotea?

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe na ajidhihirishe yupo yeye kama yeye.

Mnahangaika sana kumuongelea Mungu ambaye hayupo na hajawahi kuwepo kujiongelea mwenyewe na kujidhihirisha.
MIMI ni MUNGU haya sema kingine nikusikie
 
Kama huyo Mungu ni highest power beyond human understanding, Ulijuaje yupo?

Utafiti upi ulifanyika ukagundua huyo Mungu ni highest power beyond human understanding?

Ulitumia understanding ipi, kujua na kufahamu huyo Mungu yupo halafu ni highest power?

Au umebuni tu kichwani kwamba Mungu ni highest power, Na unataka kulazimisha mawazo yako yasiyo na uthibitisho wowote ule?

Hata Dunia ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.

Na dunia ina thibitishika ipo.

Ulimwengu wenyewe ndio Highest power.

Mungu ni jina uchwara tu lililoanzishwa kutokana na mawazo ya watu yasiyo na uthibitisho wowote ule.
kama sehemu huwezi kuifikia, hautajua kama ipo ?

mfano Jua lile pale lakini hatuwezi kulifikia, lipo beyond uwezo wetu wa kufika huko,

kama haipo beyond human understanding,
tuelezee clearly, dunia na vyote tunavyoviona vimetoka wapi, usiseme vilikwepo tu hilo jibu hatulitegemei kutoka kwa mtu anaetumia principles za physics

na kama ukishindwa kuelezea, utasemaje haipo beyond human understanding ?
 
=> Umehitimisha Dunia/ulimwengu havijaumbwa bali vilikuwepo tu
Kuna ulazima upi wa kwamba Ulimwengu umeumbwa?

Sio lazima kwamba ulimwengu umeumbwa.

Ulimwengu upo wenyewe tu bila kuumbwa.
=> Umehitimisha aliyetuumba hayupo
Sio tu hayupo pia hajawahi kuwepo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Hakuna ulazima wa kwamba sisi binadamu tumeumbwa.
Umetumia kanuni gani kuhitimisha hayo ?
Kanuni niliyotumia ni hii,

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Hata huyo Muumbaji wa kila kitu lazima awe ameumbwa.

Muumbaji huyo wa kila kitu hawezi kuwepo tu mwenyewe bila kuumbwa.

Na kama si lazima kila kitu kiwe kimeumbwa, Hata Dunia haihitaji muumbaji aliyeiumba.
 
Doh! Kuna kinywaji au mmea umetoka kutumia mda huu chief ?
Rudia comment yangu nimekwambia nimezimua tu Ila sitaki mtumie hayo mavitabu yenu ya Wazungu kuja kujifanya mnajuuua kumbe ni empty set kabisa funga Vitabu njoo na Akili yako namaanisha usije na Akili uliyokaririshwa na hicho kitabu
 
MIMI ni MUNGU haya sema kingine nikusikie
Ndio maana nasema Mungu ni jina tu, kama yalivyo majina mengine Juma, Abdala, Mohamed, Asha, Mwajuma, Diana.

Mtu yeyote anaweza kujiita Mungu Ndio maana hata yule mama mfalme Zumaridi anajiita Mungu na ni kawaida.

Ila kusema kwamba kuna highest power iko mahali inaitwa Mungu ni UONGO.

Mungu ni jina uchwara tu.
 
kama sehemu huwezi kuifikia, hautajua kama ipo ?

mfano Jua lile pale lakini hatuwezi kulifikia, lipo beyond uwezo wetu wa kufika huko,
Aliyekwambia jua haliwezi kufikiwa ni nani?

Wanasayansi wakifanikiwa kuunda chombo chenye mfumo wa kutuwezesha kulifikia jua, Utasema pia jua haliwezekani kufikiwa?

Sio kwamba Jua haliwezi kufikiwa, Ni kwamba bado utafiti na uchunguzi wa kuweza kulifikia jua haujakamilika na kufanikiwa.
kama haipo beyond human understanding,
tuelezee clearly, dunia na vyote tunavyoviona vimetoka wapi,
Kwa nini unadhani lazima vitu hivi viwe vimetoka mahali?

Kwa nini hudhani kwamba vitu hivi vinaweza kuwepo tu vyenyewe?

Kama ni lazima kila kitu kilichopo kiwe kimetoka mahali, Huko vinapotokea vitu hivi kumetoka wapi pia?
usiseme vilikwepo tu hilo jibu hatulitegemei kutoka kwa mtu anaetumia principles za physics
Wala situmii Physics mimi.

Natumia simple logic.
na kama ukishindwa kuelezea, utasemaje haipo beyond human understanding ?
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Hata huyo Mungu lazima awe ameumbwa.

Mungu huyo hawezi kuwepo tu mwenyewe bila kuumbwa.

Na kama si lazima kila kitu kiwe kimeumbwa, Hata Dunia haihitaji muumbaji.

Una elewa hilo???
 
Ndio maana nasema Mungu ni jina tu, kama yalivyo majina mengine Juma, Abdala, Mohamed, Asha, Mwajuma, Diana.

Mtu yeyote anaweza kujiita Mungu Ndio maana hata yule mama mfalme Zumaridi anajiita Mungu na ni kawaida.

Ila kusema kwamba kuna highest power iko mahali inaitwa Mungu ni UONGO.

Mungu ni jina uchwara tu.
Mimi ni MUNGU niambie unasemaje kijana Mambo Vipi?
 
Kuamini Mungu ni sawa na ushirikina, ndio maana China ni taifa lisiloamini Mungu kikatiba, na iyo imewasaidia kupata maendeleo haraka, kuliko kupoteza mda kwenye nyumba za ibada.
Naomba nikuulize unifafanulie maana ya MUNGU.
 
Back
Top Bottom