That has nothing to do with the existence of God, mnajaribu kutoka kwenye argument ya leo, kama mmekubali Mungu yupo then tuhamishe argument tuingie ni yupi sasa uyo Mungu. Humu ndani wengi hamna uwezo wa kureason na kujenga hoja, Atheist wengi mna uwezo mdogo sana wa kung'amua mambo. Hamjibu points, hamna logics zenye msingi zaidi ya kushikilia eti wewe ndiyo unasema Mungu yupo basi tuthibitishie meanwhile wewe umeshindwa kuthibitisha kama hayupo.
Argumets ya kuhusu uwepo wa Mungu au kutokuwepo it is only answered by logics, each one of us must have a set of premises from which aliconclude maamuzi yake aliyofikia. Sasa wewe unakuja unasema Mungu hayupo kisa aliyesema yupo ameshindwa kuthibitisha kama yupo wakuu mnahisi huu ni uzima wa akili???
I have my reasons to believe most of you ni brainwashed, primitive beings na mnafata mkumbo wenye hamna uwezo wa ku-argue.
Tustick kwenye mada ya uwepo wa mungu tukimalizana tuingie sasa kumdiacuss yeye mwenyewe, i find no reason kuanza kukuelewesha ni yupi mean while huamini kama yupo.