Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Waamini Mungu be like hatuelewi chanzo Cha ulimwengu au binadamu so msile nguruwe, msinywe pombe, muuze mali zenu mgawie maskini... Au mkahiji maka, au taifa teule la Mungu ni Israel... Sasa unajiulza kutokuelewa chanzo Cha Dunia na ulimwengu na vyote vilivyomo, kunahusiana vipi na izo Sheria wanazoleta?
 
Claim umeileta wewe, mimi nilichofanya ni kusimamia upande ambao ni default.

Ukiniambia kwenye box la kufikirika kuna paka ndani yake, hiyo sio fact ni madai.

Madai yoyote bila uthibitisho yanaweza kupingwa bila uthibitisho.
I suppose you know nothing about logic.
Kupinga bila kureason ni sawa na upuuzi, ndo mana ukapewa akili
 
Basi ni bora kubaki "agnostic" kuliko kumlazimishia mungu wako yupo.
Yoda Mungu hayupo, iyo ni imagination tu ya sisi wanadamu.. sisi ndo kiumbe pekee tumeweza kuitawala Dunia kupitia myths tulizotengeneza na tukaziamini japo sio za kweli... Money, empires, Gods haviexist zaid ya kwenye imagination zetu tu... Ndo maana ukimpa mbuzi hela na majani, atakula majani maana hajui thamani ya hela, ss binadamu ndo tumeipa hela thamani.
Kuwepo kwa myths kumetusaidia kuwa na ushirkiano uliotusaidia kuendeleza Dunia. Lakin in reality there is no God uko juu.
 
Mleta Uzi unataka Simba akipata chakula ale na fisi ? Kila MTU ale Kwa urefu wa kamba yake.
Food chain inainyesha dhahiri kuwa Mungu ni nadharia za kudanganya/ kutisha watu
 
I suppose you know nothing about logic.
Kupinga bila kureason ni sawa na upuuzi, ndo mana ukapewa akili
Kama ungekuwa unaijua logic kwa jinsi unavyoitaja sidhani kama ungekuja na hizo assertion zako.

Unachokiandika wewe hakipo katika logic, ni illogic.

Ulichofanya wewe ni shifting of burden of proof inayokutaka wewe unayeleta madai ndio uthibitishe.
 
Bac wat are the possibilities za huyu mungu.. especially kwa hio long list ya miungu aliyotuma Scars, wat are the possibility that only one of them na ndo unayemuamini wewe is the real one...na wengine wooote ni WA uwongo
That has nothing to do with the existence of God, mnajaribu kutoka kwenye argument ya leo, kama mmekubali Mungu yupo then tuhamishe argument tuingie ni yupi sasa uyo Mungu. Humu ndani wengi hamna uwezo wa kureason na kujenga hoja, Atheist wengi mna uwezo mdogo sana wa kung'amua mambo. Hamjibu points, hamna logics zenye msingi zaidi ya kushikilia eti wewe ndiyo unasema Mungu yupo basi tuthibitishie meanwhile wewe umeshindwa kuthibitisha kama hayupo.
Argumets ya kuhusu uwepo wa Mungu au kutokuwepo it is only answered by logics, each one of us must have a set of premises from which aliconclude maamuzi yake aliyofikia. Sasa wewe unakuja unasema Mungu hayupo kisa aliyesema yupo ameshindwa kuthibitisha kama yupo wakuu mnahisi huu ni uzima wa akili???
I have my reasons to believe most of you ni brainwashed, primitive beings na mnafata mkumbo wenye hamna uwezo wa ku-argue.
Tustick kwenye mada ya uwepo wa mungu tukimalizana tuingie sasa kumdiacuss yeye mwenyewe, i find no reason kuanza kukuelewesha ni yupi mean while huamini kama yupo.
 
Mungu alishajifunua Kwa manabii kuwa yupo na ameshafunga huo mjadala Kwa kuweka moto Kwa ajili ya watu wajinga wanao Pinga uwepo wake

Hata Leo hii Mungu akiifunua kwako kuwa yupo na wewe ukashuhudia na ukaamini kuwa yupo miaka 100 baadae watatokea wajinga wengine wengi tu kama wewe na watasema hakuna Mungu

Au unadhani wewe ndio mjinga wa mwisho hapa Duniani kuwa Mungu akiifunua kwako basi tena milele na milele watu wataamini kuwa Mungu yupo

Mungu anawajua vizuri binadamu wajinga ndio maana amewaandalia Moto wa Jahannam
So mungu anacheza kombolela afu usipomuona moto?
 
That has nothing to do with the existence of God, mnajaribu kutoka kwenye argument ya leo, kama mmekubali Mungu yupo then tuhamishe argument tuingie ni yupi sasa uyo Mungu. Humu ndani wengi hamna uwezo wa kureason na kujenga hoja, Atheist wengi mna uwezo mdogo sana wa kung'amua mambo. Hamjibu points, hamna logics zenye msingi zaidi ya kushikilia eti wewe ndiyo unasema Mungu yupo basi tuthibitishie meanwhile wewe umeshindwa kuthibitisha kama hayupo.
Argumets ya kuhusu uwepo wa Mungu au kutokuwepo it is only answered by logics, each one of us must have a set of premises from which aliconclude maamuzi yake aliyofikia. Sasa wewe unakuja unasema Mungu hayupo kisa aliyesema yupo ameshindwa kuthibitisha kama yupo wakuu mnahisi huu ni uzima wa akili???
I have my reasons to believe most of you ni brainwashed, primitive beings na mnafata mkumbo wenye hamna uwezo wa ku-argue.
Tustick kwenye mada ya uwepo wa mungu tukimalizana tuingie sasa kumdiacuss yeye mwenyewe, i find no reason kuanza kukuelewesha ni yupi mean while huamini kama yupo.
Okay why mungu yupo ?
 
Kama ungekuwa unaijua logic kwa jinsi unavyoitaja sidhani kama ungekuja na hizo assertion zako.

Unachokiandika wewe hakipo katika logic ni illogic.

Burden of proof inakutaka wewe unayeleta madai ndio uthibitishe.
Dare to try me if you doubt my logics. Philosophy doesn't in this argument, I find no reason to believe maneno ya mtu mwingine tena yasiyo make sense
Kitu pekee kinaweza kukuokoa ni logics sio eti sijuw burden of proof inakutaka ufanye nini, upuuzi upuuzi tu
 
Waamini Mungu be like hatuelewi chanzo Cha ulimwengu au binadamu so msile nguruwe, msinywe pombe, muuze mali zenu mgawie maskini... Au mkahiji maka, au taifa teule la Mungu ni Israel... Sasa unajiulza kutokuelewa chanzo Cha Dunia na ulimwengu na vyote vilivyomo, kunahusiana vipi na izo Sheria wanazoleta?
Ndo hapo Sasa....eti usigegede kabla ya ndoa
 
Science imefafanua maswali yako mengi kama uwepo wa Jua Mwezi nk.ila kuna Dark Energy na Dark Matter ambayo mpaka leo haijaeleweka huenda hizo Energies ndio Mungu, Ngai, YHWY, Allah, ambao Dr Richard Dawkins huwaita God's of the Gaps 😁

Mimi Imhotep naamini Mungu ila siko kwenye Imani za Dini.
 
Exactly exactly exactly, hata mimi apa na doubt sana kuhusu dini lakini nna uhakika kabisa Mungu yupo.
Infact kwa mtu yoyote anayefikiria sehemu ya kuwekea mashaka ni hizi dini
Hawa jamaa wanaosema hawaamini Mungu ni wamekariroshwa tu ma watu, eti mtu anakwambia kuna dark matter, kitu pekee kinaweza kukaa hapo ni Mungu.
 
Dare to try me if you doubt my logics. Philosophy doesn't in this argument, I find no reason to believe maneno ya mtu mwingine tena yasiyo make sense
Kitu pekee kinaweza kukuokoa ni logics sio eti sijuw burden of proof inakutaka ufanye nini, upuuzi upuuzi tu
Kama hujui misingi ya logic kwenye argument sioni sababu ya msingi kuitaja taja logic kwenye kila post yako, huku kile ulichokiandika hakipo kwenye logic.

Usipo ujua umuhimu wa msingi kwa kuta ndefu ni sawa na kuzipanda mbigili na kuja peku
 
Exactly exactly exactly, hata mimi apa na doubt sana kuhusu dini lakini nna uhakika kabisa Mungu yupo.
Infact kwa mtu yoyote anayefikiria sehemu ya kuwekea mashaka ni hizi dini
Hawa jamaa wanaosema hawaamini Mungu ni wamekariroshwa tu ma watu, eti mtu anakwambia kuna dark matter, kitu pekee kinaweza kukaa hapo ni Mungu.
Uhakika huo uliokuwa nao kuhusu uwepo wa Mungu sisi ndio tunaoutaka.

Huku kote tusingefika kama huo uhakika ungeuweka hapa bayana kwa uthibitisho.
 
Kama hujui misingi ya logic kwenye argument sioni sababu ya msingi kuitaja taja logic kwenye kila post yako, huku kile ulichokiandika hakipo kwenye logic.

Usipo ujua umuhimu wa msingi kwa kuta ndefu n sawa na kuzipanda mbigil na kuja peku
Huoni logics kwenye points kwasababu hujuwi kuhusiana na logics, no wonder ulifikia conclusion kama Mungu hayupo
Lazima ni mention logic coz this is logical argument sio philosophical one. You can only conclude atleast to some percent in this argument by logics not that stupid philosophical thing. Sasa wewe kwenye sehemu kama hii ya kureason unaleta philosophy ni upuuzi
 
Science imefafanua maswali yako mengi kama uwepo wa Jua Mwezi nk.ila kuna Dark Energy na Dark Matter ambayo mpaka leo haijaeleweka huenda hizo Energies ndio Mungu, Ngai, YHWY, Allah, ambao Dr Richard Dawkins huwaita God's of the Gaps 😁

Mimi Imhotep naamini Mungu ila siko kwenye Imani za Dini.
Kaka upo katika nafasi nzuri, lakini hata kumuamini Mungu umeamua tu, lakini Nina uhakika hujawahi kumuona Wala kumsikia, ila umeamua tu kuamini iyo concept ya Mungu, ila kiu halisia hayupo nje ya akili zetu.. yupo kwenye akili zetu tu uyo Mungu, lakin physically hayupo na hajawah kuwepo
 
Uhakika huo uliokuwa nao kuhusu uwepo wa Mungu sisi ndio tunaoutaka.

Huku kote tusingefika kama huo uhakika ungeuweka hapa bayana kwa uthibitisho.
Na mimi nimeahatoa reasoning zangu, hujaweka zako ukaruka kwenye conclusion hakuna Mungu kisa mimi nliyesema yupo sijaprove huoni kama unamatatizo apo shehe??
You claim to know about logics, weka hapo how did you conclude statement yako kama Mungu hayupo sio hizo story za kijiweni
 
Back
Top Bottom