Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Hakuna mwana sayansi aliyeprove uwepo wa dark matter, kafanye research zako vizuri uelewe then come again
Sio unakuja kuleta mtu ambaye hata hujuwi alifanya nn unasema aliprove dark matter
We ndo hutak kukubali ukwel, dark matter imekuwa proved na wanasayansi, kwa sababu Ina effect kwenye gravitational force.. Sasa mi nakushangaa unabisha, we uliona wapi sayansi ikasema ktu bila kufanya research.
Hayo mambo ya kuguess tumewaachia watu wa dini, sayansi ikisema ktu kipo ujue Kuna research imefanyika.
 
Wakristo nao wanaamini, nyoka anaongea, mtu kumezwa na samaki na akakaa siku tatu bila kufa, na mariam kupata Mimba bila mwanaume, hizi zote ni nonsense tu. Story za uongo.
 
Hizi maada za Mungu yupo au Hayupo zishakua za kitoto,suala la kiimani unaweza Vipi kulithibitisha kimantiki???


Katika kitabu The Justification of Knowledge mwanatheolojia Calvin Robert L. Reymond anasisitiza kwamba waumini hawapaswi kujaribu kuthibitisha kuwepo kwa Mungu.
Mimi naamini Mungu yupo ila kwa vyovyote siwezi kuthibitisha kama yupo,Wanaosema Mungu Hayupo wana points ila sisi tunaosema YUPO tumeshika Imani tu,na Kama kweli tungeweza kuthibitisha Wala hili lisingekua jambo la kushindaniwa...mbona hatujawahi kubisha kama Hitler alikuwepo au story tu??coz watu tunajua(sio kuamini)kua kweli alipata Kuishi
huo ndio ukweli ambao wote tumekubaliana (Universal truth)


*Universal truth implies widely accepted facts which does not change over period, circumstance, location, and so on

Uwepo wa Mungu ilitakiwa uwe widely accepted tena kwa Facts sio story za nyuki kutengeza asali,jiulize why Kuna vitu vingi Dunia nzima tumekubaliana kua ni FACT but sio hili??mfano wote tunakubali kua,

Sun gives us light
Humans are mortal.

The earth revolves around the sun.
The sun rises in the East and sets in the West.

and why not about God?? Imani mtu wangu,hata tukupe miaka buku,huto prove kitu...
 
Kaka ushaur mzuri naoweza kukupa, ni kuacha kuamini vtu vya nadharia, Mungu hayupo na Wala uchawi haupo, Ili kuthibitisha uchawi upo, usiangalie YouTube Wala nini, jiulize binafsi, je ushawah kumuona mchawi, hapana hujawah kumuona, kwasababu hakuna uchawi, ao watu wa YouTube n matapeli kama matapeli wengine.
Muongezee,hata aliebuni neno Mungu nae ni tapeli. Kaliunda tu ili imuie rahisi kuibia watu
 
Uwepo wa huyo Mungu. Kabla wazungu hawajawaletea kitabu kikubwa(biblia),ulisikia aliwahi kuwepo?
Mungu alikwepo miaka na miaka, hata babu zetu walishamjua kabla,

labda wewe unachanganya Dini na Mungu

wazungu wameleta Ukristo waarabu wameleta Uislamu

babu zetu walikua na imani yao kulingana na kila kabila ambazo pia tunaweza kuzi term kama Dini

Dini ni approach ya kumfikia Mungu

Dini ni nyingi na zinaweza kutofautiana mafundisho na approach ya kumuomba Mungu

ila dini zote zina amiini kwenye Highest Power

Zinaamini kwenye Nguvu inayoshinda uwezo wa Binadamu yeyote,

hata kama wanaiita kwa majina tofauti,

tangu bunadamu awepo duniani amejikuta akiamini kuna nguvu iliyo kuu,

wanaopinga uwepo wa Mungu ndo walikuja baadae !
 
Mkwawe

Umequote vitu vingi naona system inanizuia kukuquote.

Msingi mkuu wa society formation ni 'owning property ' bila authority maisha yanakua ni mwenye nguvu mpishe.

With authority hata mwenye nguvu atashindwa kukunyang'anya mali bila kuwajibishwa. Society agreed to society formation ili kumaintain kumiliki mali.

Ukifikiria vizuri hata dini zinacheza mulemule, kuhakikisha mtu anamiliki mali bila kuhofia kupokonywa.
 
sasa neno linahusikaje hapa, hayo si maswala ya Lugha ?
Ndo tunasema pia ni tapeli kama matapeleli wengine, unawezaje kutunga neno la kitu kisichokuwepo kaka..
Tunajua chanzo Cha dini na kuamini Mungu, ni baada ya mwanadamu kushindwa kuelewa yeye ametoka wapi, au Dunia, anga ni vitu vingine vimetoka wapi, ndo aka assume kwamba Kuna ktu behind, ndo akakiita Mungu,
Lakini tangu enzi izo mpaka Leo uyo Mungu hajawahi kuongea Wala kuonekana kwa mtu yoyote yule
Cha ajabu watu wa dini Wana jifanya kumjua sana, wanakuja Hadi na Sheria na kusema hataki tufanye ivi au tufanye vile.
Kutokujua chanzo Cha ulimwengu au mwanzo wa mwanadamu kunahusiana vipi na kumkataza mtu kufanya kazi jumamosi, au kumkataza mwanamke kuwa kiongozi, au kusema hutakiwi kula nguruwe?
 
We jamaa kuelewa kwako ni tatizo sana.
THE LOGIC STARTED WITH AN ASSERTION, HIYO ASSERTION SIJAAMUA KUIWEKA TU KAMA HUYO JAMAA WENU NA FALSAFA ZAKE. It is based on the laws of nature, mimi siweki kitu kwa kuamua tu kama nyie mnaoamini falsafa za watu fulani.
Unakuta unabishana na mtu anakwambia x alisema, y alisema sasa akishasema yeye ndo nn?
Hakuna assertion ya aina hiyo kwenye logical argument

Hiyo ni logical fallacy ya jumping to conclusion

Huwezi kuanza na "there creator of everything" halafu ukasema ni assertion yenye logical fact.

Halafu kama unapinga kutumia falsafa za watu unatakiwa kupinga dini na dhana nzima ya uwepo wa Mungu.
 
Kibao kipi ? Hizo illogical philosophy unazoweka wewe na wenzako???
Leo unaziita illogic kwasababu zimekuwa pointed kwako?

Wakati unazitumia dhidi yangu hukujua ni illogic?

Hujaniambia mpaka saizi ni procedures zipi anazopaswa kufuata mtu anayetaka ku prove negative.
 
Ndo tunasema pia ni tapeli kama matapeleli wengine, unawezaje kutunga neno la kitu kisichokuwepo kaka..
Tunajua chanzo Cha dini na kuamini Mungu, ni baada ya mwanadamu kushindwa kuelewa yeye ametoka wapi, au Dunia, anga ni vitu vingine vimetoka wapi, ndo aka assume kwamba Kuna ktu behind, ndo akakiita Mungu,
Lakini tangu enzi izo mpaka Leo uyo Mungu hajawahi kuongea Wala kuonekana kwa mtu yoyote yule
Cha ajabu watu wa dini Wana jifanya kumjua sana, wanakuja Hadi na Sheria na kusema hataki tufanye ivi au tufanye vile.
Kutokujua chanzo Cha ulimwengu au mwanzo wa mwanadamu kunahusiana vipi na kumkataza mtu kufanya kazi jumamosi, au kumkataza mwanamke kuwa kiongozi, au kusema hutakiwi kula nguruwe?
hicho kitu behind ambacho wameshindwa kukielewa na kukiita Mungu,

kama wewe umekielewa ndo utuelezee utupe na Jina,
ili kuthibitisha Mungu Hayupo.

kwasababu unatuacha njiani ukisema tu Hayupo bila kueleza na kutuelewesha hayo unayosema "binadamu wameshindwa kuelewa"
 
Ndo mana nkasema nyinyi atheists mnaongozwa na falsafa, kuamini katika falsafa bila kureason ni upuuzi. Naonaga wengi mnakuwaga na huo ujinga wa x amesema, y amesema kama uyo mwenzako anakuja apa na burden of blah blah blah
Huijui philosophy ni unaitaja tu kimazoea kama ulivyokuwa unaitaja logic.

Hujui hata kati ya Atheist na Theist ni kundi gani linaloongoza kwa ku quote hearsay.

Hujui kati ya Atheist na Theist ni kundi lipi ambalo mustakabali wa kukubali jambo sio lazima lipitie kipimo cha logic au reasoning?

Usikute hapo wewe ni muislamu unayeamini Muhammed alipaa angani na farasi mwenye mbawa kuelekea peponi.

Then stori hiyo ambayo ni falsafa za watu ukaichukua kama fact na moja kwa moja unaona hiyo ni reasoning.

Ni logical reasoning ya namna gani inayoweza kukubaliana na stori hiyo?
 
Back
Top Bottom