Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

Unaweza kunielezea miziki ya country na jazz inakuwaje
Jazz ni muziki fulani hivi wa kutulia hauna papara hata zana zake zimetulia ukiisikiliza lazima usikie piano,saxophone na tarumbeta, lazima mingine wanapiga na zile drums.
 
Unaweza kunielezea miziki ya country na jazz inakuwaje
Country yenyewe ni ile ya kicow-boy ukiisikiliza guitar lazima lihusike tena yale maguitar haswa! Kina kenny Rodgers na Alan Jackson ndio nawasikiliza zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…