Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Wanasiasa wamekua wakitoa ahadi ya mambo ambayo wanapaswa kufanya kwakuwa wanakusanya kodi, sasa Je, ni ahadi zipi ambazo unajua kabisa ni kama mama anamwambia mwanaye baba yule anaendesha ndege anaelekea Ulaya, zile za utotoni?
- Mgombea Ubunge Moshi- Nitafufua viwanda vyote vilivyofilisiwa na kufungwa , Moshi itakuwa kama Ulaya.
- Wazee wote wa Moshi watatibiwa Bure.
- Bodaboda wa Moshi wata wekewa Mafao na kupewa mitaji na vitambyulisho rasmi.