Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Wanasiasa wamekua wakitoa ahadi ya mambo ambayo wanapaswa kufanya kwakuwa wanakusanya kodi, sasa Je, ni ahadi zipi ambazo unajua kabisa ni kama mama anamwambia mwanaye baba yule anaendesha ndege anaelekea Ulaya, zile za utotoni?
- Mgombea Ubunge Moshi- Nitafufua viwanda vyote vilivyofilisiwa na kufungwa , Moshi itakuwa kama Ulaya.
- Wazee wote wa Moshi watatibiwa Bure.
- Bodaboda wa Moshi wata wekewa Mafao na kupewa mitaji na vitambyulisho rasmi.
Kwahiyo kumbe UBWABWA ndio tiba mbadala, watu wanaumwa kwakuwa wamekosa ubwawa, aisee!
Aliyeweka gharama za maiti kuahidi kuzifuta baada ya siku 100 ( yaani aliyetengeneza tatizo anakuja na suluhisho)No reform no election, halafu election ipo
Wehu hawa mashenziKwahiyo kumbe UBWABWA ndio tiba mbadala, watu wanaumwa kwakuwa wamekosa ubwawa, aisee!
hawajielewi.No reform no election, halafu election ipo
OMGAliyeweka gharama za maiti kuahidi kuzifuta baada ya siku 100 ( yaani aliyetengeneza tatizo anakuja na suluhisho)
Motogoro ya viwanda inarudi bila kusema ni viwanda vile vya Magufuli au vipi mana viwanda vilishajengwa
Maridhiano baada ya uchaguzi wakati hata 4 alizosema mwenyewe HAZIFAHAMU
Bima ya Afya kwa wote akianza na wazee na watoto wakati hawa kwa mujibu wa sera ya afya wanatibiwa kwa misamaha.
Ila wale wanaosombwa na malori nao si wanapewa hela ya ubwabwa? Mi naona ndio hitaji kubwa la wanyonge.Wehu hawa mashenzi
Viwanda vyaa trekta vitachukua oda ya Tanzania pekee?"tutanunua treka milioni 10 ifikapo 2030"
majibu anayo mama yetu kipenzi cha watanzania...Viwanda vyaa trekta vitachukua oda ya Tanzania pekee?