Pre GE2025 Uzi maalum wa hali ya kimtandao kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Intaneti itapatikana au itazimwa kama 2020?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haswa wakati wa jiwe walishaandaa kura feki na kupanga ushindi wa jiwe ilikuwa ujinga kwenda kupiga kura

Mama bila nguvu ya Internet na kucheza rafu za saa 8 mchana kamwe hatotoboa..
Yaani siku hiyo hata saa 5 mbali na ajabu kubwa Ni pale jamaa xetu wanapomhakikishia ushindi wa kishindo
 
Ajiandae kwenda kizimkazi kwa miguu!, Au aende kwa wajomba zake huko aliowagawia Bandari yetu.
 
Jiwe alifikiri akiua watu na akiwakataza kumkosoa halafu akawa anasema yeye tu basi watampenda. Ilipofika uchaguzi akaona hali yake kisiasa ni mbaya sana.

Akaanza kubwata bwata kama kichaa. Akawaambia wakurugenzi "marufuku kumtangaza mpinzani wakati ccm ndiyo inawalipeni mshahara". Hapa kwa kweli alikuwa amechanganyikiwa.

Pamoja na hivyo akawa bado na wasiwasi. Kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa akawakusanya watendaji wa kata nchi nzima akaongea nao. Sijui aliwaambia nn?

Uchaguzi mkuu Sasa akazima internet baada ya kuona kila mahala kapata kura kiduchu na kura feki za kumnusuru zinazosambazwa na vijana wake zinarekodiwa kwa simu na kurushwa mitandaoni.

Sasa ni zamu yake rais Samia. Muda umefika wa yeye kujua rangi halisi za watanzania. Hivi kweli atatoboa huyu mama??

Wananchi wakikumbushwa kuhusu:-
1. Tozo.
2. Dp World.
3. Mgawo wa umeme.
4. Kuhamishwa kwa wamasai wa Ngorongoro.
5. Kufukuzwa kwa wamasai wa Loliondo.
6. Rushwa na upigaji serikalini.
7. Kukopa mikopo kuliko kithiri.
8. N.k
Hivi kweli rais Samia hatazima internet kwenye uchaguzi ujao??
Huyu mama pamoja na kwamba ni ccm lkn bado ana moyo wa kiubinadamu na dini ya kweli imemkolea sana.
 
Mpaka azime internet anamuogopa nani wakati Wapinzani wake wote mpaka sasa wapo hoi?
Labda tusubiri 2025 lakini kwa sasa Wapinzani wote wapo ndembendembe wamechoka
Sasa wewe ndugu hapa ndiyo umebisha au umeunga mkono?
 
Msiojua kwa ujinga wenu msipopiga KURA mnawapa ahueni ccm kuliko mkipiga kwasababu nature haikubali vacuum kwahiyo ombwe litajazwa tu na kubalansi nature.
Upo sahihi na huwa sielewi mtu anasema kuwa hatapiga kura wakati yeye anajiita ni mfuatiliaji wa mambo ya siasa.
 
Kwa mtu aliye serious huwezi hata kujiuliza sana , kwenye hizo kampeni Samia ataenda kujieleza amefanya kitu gani tangible?

Sioni hata kama atagombea.
 
Jiwe alifikiri akiua watu na akiwakataza kumkosoa halafu akawa anasema yeye tu basi watampenda. Ilipofika uchaguzi akaona hali yake kisiasa ni mbaya sana.

Akaanza kubwata bwata kama kichaa. Akawaambia wakurugenzi "marufuku kumtangaza mpinzani wakati ccm ndiyo inawalipeni mshahara". Hapa kwa kweli alikuwa amechanganyikiwa.

Pamoja na hivyo akawa bado na wasiwasi. Kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa akawakusanya watendaji wa kata nchi nzima akaongea nao. Sijui aliwaambia nn?

Uchaguzi mkuu Sasa akazima internet baada ya kuona kila mahala kapata kura kiduchu na kura feki za kumnusuru zinazosambazwa na vijana wake zinarekodiwa kwa simu na kurushwa mitandaoni.

Sasa ni zamu yake rais Samia. Muda umefika wa yeye kujua rangi halisi za watanzania. Hivi kweli atatoboa huyu mama??

Wananchi wakikumbushwa kuhusu:-
1. Tozo.
2. Dp World.
3. Mgawo wa umeme.
4. Kuhamishwa kwa wamasai wa Ngorongoro.
5. Kufukuzwa kwa wamasai wa Loliondo.
6. Rushwa na upigaji serikalini.
7. Kukopa mikopo kuliko kithiri.
8. N.k
Hivi kweli rais Samia hatazima internet kwenye uchaguzi ujao??
Jpm hakustahili kuwa rais basi tu ugomvi wa lowasa na membe
 
Akiamua hata uchaguzi wenyewe auzime tu. Wanasiasa wanaanza kutufanya mazwazwa na sisi tunaelekea.
 
Jiwe alifikiri akiua watu na akiwakataza kumkosoa halafu akawa anasema yeye tu basi watampenda. Ilipofika uchaguzi akaona hali yake kisiasa ni mbaya sana.

Akaanza kubwata bwata kama kichaa. Akawaambia wakurugenzi "marufuku kumtangaza mpinzani wakati ccm ndiyo inawalipeni mshahara". Hapa kwa kweli alikuwa amechanganyikiwa.

Pamoja na hivyo akawa bado na wasiwasi. Kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa akawakusanya watendaji wa kata nchi nzima akaongea nao. Sijui aliwaambia nn?

Uchaguzi mkuu Sasa akazima internet baada ya kuona kila mahala kapata kura kiduchu na kura feki za kumnusuru zinazosambazwa na vijana wake zinarekodiwa kwa simu na kurushwa mitandaoni.

Sasa ni zamu yake rais Samia. Muda umefika wa yeye kujua rangi halisi za watanzania. Hivi kweli atatoboa huyu mama??

Wananchi wakikumbushwa kuhusu:-
1. Tozo.
2. Dp World.
3. Mgawo wa umeme.
4. Kuhamishwa kwa wamasai wa Ngorongoro.
5. Kufukuzwa kwa wamasai wa Loliondo.
6. Rushwa na upigaji serikalini.
7. Kukopa mikopo kuliko kithiri.
8. N.k
Hivi kweli rais Samia hatazima internet kwenye uchaguzi ujao??
Hayo uliyoandika mbona mumeanza nayo Toka day 1 na Bado yupo Hadi Sasa huku Wananchi Wakiwapuuza?

Siasa Zina operate Kwa nyakati husika sio historia

Mwisho hata akizima internet utamfanya nini Kwa mfano? Maana Rais ni Samia nyie wengine mnanogesha mechi tuu.
 
Back
Top Bottom