Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 mengi yanasemwa na yataendelea kusemwa, na kati ya hayo ni kauli tata na za kushangaza kutoka kwa wanasiasa ambazo kwa namna moja ama nyingine zitakuwa na aathari fulani si tu katika uchaguzi huu wa mwaka huu bali hata ule uchaguzi Mkuu unaosubiriwa kwa hamu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Tutumie uzi huu kuweka risiti kadri matukio yatakavyokuwa yanatokea, wakati wa kuwabana ukifika tuwakumbushe utumbo waliotutolea na kama watastahili kupata nafasi nyingine.
Karibuni Wakuu.
Hizi ni kauli tata zilizovuma (zinazoendelea kuvuma) so far:
~ Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
~ Rais Samia: Mnashuhudia matusi ninayotukanwa lakini sijibu najigeuza chura
~ Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
~ Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu
JANUARY
FEBRUARY

- Pre GE2025 - Wassira: CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka'
- RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
FEBRUARY