Pre GE2025 Uzi Maalum wa Kauli tata na za kushangaza kutoka kwa Viongozi na Wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 mengi yanasemwa na yataendelea kusemwa, na kati ya hayo ni kauli tata na za kushangaza kutoka kwa wanasiasa ambazo kwa namna moja ama nyingine zitakuwa na aathari fulani si tu katika uchaguzi huu wa mwaka huu bali hata ule uchaguzi Mkuu unaosubiriwa kwa hamu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Tutumie uzi huu kuweka risiti kadri matukio yatakavyokuwa yanatokea, wakati wa kuwabana ukifika tuwakumbushe utumbo waliotutolea na kama watastahili kupata nafasi nyingine.

Karibuni Wakuu.

Hizi ni kauli tata zilizovuma (zinazoendelea kuvuma) so far:

~ Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
~ Rais Samia: Mnashuhudia matusi ninayotukanwa lakini sijibu najigeuza chura
~ Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
~ Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu

JANUARY
  1. Pre GE2025 - Wassira: CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka'
  2. RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

FEBRUARY
  1. Pre GE2025 - Zungu amfokea Mbunge wa Covid 19 Esther Matiko "Ukinizingua ntakuzingua, behave yourself. Kaa chini, kaa kimya"
  2. Aliyekuwa Mbunge, Keissy: Msichana wa miaka 14/15 anafaa kuolewa. Nilioa wangu akiwa na miaka 15. Hiyo ndio sheria ya Uislamu
 
Wakuu,

wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 mengi yanasemwa na yataendelea kusemwa, na kati ya hayo ni kauli tata na za kushangaza kutoka kwa wanasiasa ambazo kwa namna moja ama nyingine zitakuwa na aathari fulani si tu katika uchaguzi huu wa mwaka huu bali hata ule uchaguzi Mkuu unaosubiriwa kwa hamu.

Tutumie uzi huu kuweka risiti kadri matukio yatakavyokuwa yanatokea, wakati wa kuwabana ukifika tuwakumbushe utumbo waliotutolea na kama watastahili kupata nafasi nyingine.

Karibuni Wakuu.

Hizi ni kauli tata zilizovuma (zinazoendelea kuvuma) so far:

~ Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
~ Rais Samia: Mnashuhudia matusi ninayotukanwa lakini sijibu najigeuza chura
~ Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
~ Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu
Hatarri sana hii!
 
Hatarri sana hii!
Kwamba mshindi hatokani na kura zenu za Kwenye maboksi

Bali inategemea nani anahesabu kura hizo na nani anatangaza matokeo
By Nape Nnauye's voice
 
Ule ushauri wa kuhamia Burundi sijauona
 
Maneno ya walevi
1.nyie mkisikia mtu ananisema vibaya mm mbunge wenu,nyooka nae.TULIA ACKSON.
2.wananchi wako tayari kula nyasi ili mradi ndege ya raisi inunuliwe.BASIL MRAMBA.
3.kama mtu hataki tozo ahamie burundi.MWIGULU NCHEMBA.
4.natamani ccm iendelee kutawala miaka mia na iviponde ponde vyama vya upinzani.JULIUS NYERERE.
5.ukitaka biashara yako iende vizuri weka bendera ya ccm
hapo.FREDRICK SUMAYE.
6.majaji toeni hukumu kwa kufuata
mwelekeo wa nchi na sio sheria
tu.IBRAHIM JUMA.
7.askari akiuwa asishitakiwe.JOHN MAGUFULI.
[jamani wenye maneno ya walevi wengine hebu wekeni hapa kwenye coment]
 
This is Tanzania!
This is Africa!
 
1. 'Huyu jamaa ana mdomo mchafu sijui huyo honey wake huwa anamuchuje' by ......
2. 'Huyu simba asiyetulia muiteni Tundu Lissu' by .....
3. Chama cha siasa ambacho kina mbunge mmoja tu bungeni kitajiitaje ni chama kikubwa? by Wasira
4. 'Bila reform na katiba mpya hatutasusia uchaguzi mkuu bali tutazuia kuwepo kwa uchaguzi huo' by Tundu Lissu.
5. 'Ilituweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki' by Tundu Lissu.
 
Back
Top Bottom