Uzi Maalum wa Kukumbushana Picha za Zamani

Nawakubali sana MATOZI wa zamani.

Walifurahia sana MAISHA, hakukuwa na Maradhi ya ajabu ajabu.

Hawana VITAMBI.

Safi sana.


 
Hebu wee mwenyewe angalia Watoto jinsi walivyo!

Wapo kiasili zaidi.

Jamani,

Kwanini sijakuwepo enzi hizo?!
 
Kweli tunatoka mbali sana.

UBUNGO/KARIAKOO Barabara ya MOROGORO haikuwa hata na LAMI!

Kweli nimeamini Mambo yanakwenda na kubadilika.


 
Nawakubali sana MATOZI wa zamani.

Walifurahia sana MAISHA, hakukuwa na Maradhi ya ajabu ajabu.

Hawana VITAMBI.

Safi sana.


Enzi hizo ukiwa na kitambi lazima upelekwe hospitali,ukachekiwe kwashakoo na utapia mlo
 
Kweli watu wanatoka mbali sana mpaka kufikia hapa walipo sasa hao hapo juu ni Masoud Kipanya na Jokate a,k.a Kidoti.
Hapo Umetudanganya Mkuu, Jokate Huyu Wa Juzi , Akue Pamoja na Masoud, Huyo Ni Musa Kipanya Na Si Masoud Kipanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…