Uzi maalum wa “kula bila kuvimbiwa”

Uzi maalum wa “kula bila kuvimbiwa”

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,926
Reaction score
95,626
Kwenye huu uzi nitakuwa naposti video pamoja na habari mbalimbali za kula bila ya kuvimbiwa pamoja na video na habari za kujipimia pia.

Video zangu ni fupifupi ambazo zipo chini ya MB 1 ili hata akina sie ambao bando linasumbua sumbua baada ya serikali kupandisha gharama za bando tuweze kufuatilia pia.

Nawe ndugu mtazamaji ukiwa na tukio au video za kula bila kuvimbiwa na zile za kujipimia pia unaweza kuposti hapa😁😁😁

Hizi video chache hapa mwanzo ni trela tu video nyingi pamoja na picha zitakuwa ndani ya uzi huu kadri uzi utakavyokuwa unatembea.

Enjoy😁😁😁




 
Kula kwa kiasi.
Akina Majaliwa waliojaliwa vyeo vyao👇😁😁😁
EQyRK.jpeg
 
Back
Top Bottom