Uzi Maalum wa kumpa moyo, faraja au kumtakia heri Tundu Antipas Lissu

Uzi Maalum wa kumpa moyo, faraja au kumtakia heri Tundu Antipas Lissu

X factor

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
1,436
Reaction score
2,298
Ndugu

Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu,huu ni Uzi Maalum wa kutoa neno la faraja na kumtakia Heri kiongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Mh Tundu A Lissu aliyepewa kesi ya uhaini na kuwekwa death row pale ukonga huku akikumbana na manyanyaso chungu nzima kutoka Kwa askari magereza.

Kama tunavyofahamu Mh Lissu amepewa kesi hiyo ya mchongo Kwa sababu ya kupignia haki na maslahi ya taifa yanayochezewa na Wana mtandao wachache na wafuasi wao.

Hivyo Kila mpenda HAKI na MABADILIKO atoe neno lolote la faraja,matumaini na kumtakia Heri mwamba aliyeko nyuma ya nondo muda huu kwaajili ya kupigania taifa letu la TANZANIA,na Uzi huu utabaki kuwa kumbukumbu na ushahidi Kwa vizazi vyote kuanzia Cha Sasa na vinavyokuja na wote wataoandika Chochote hapa maoni Yao yatasomwa kizazi baada ya kizazi na MUNGU apendaye HAKI awabariki sana.

Stay strong TAL ✌️💪
 
Attachments

  • jacquirine_lowassa-20250804-0001.jpg
    jacquirine_lowassa-20250804-0001.jpg
    102.5 KB · Views: 29
Namuombea kwa Mungu wa haki, wa mbinguni amsaidie ,Mungu yule aliyemponya na Risasi amsaidie hata sasa kwa haki yake,Mungu wa HAKI amjibu kwa haki yake.Hakuna binadamu bora zaidi ya mwingine ,Hakuna binadamu mwenye haki ya kumuua binadamu mwenzake mwingine ili hali na yeye ni binadamu hataishi milele,viongozi wetu wasijisahau kuwa na wao ni binadamu tu,Mungu ndio boss wetu ,na Mungu ndio anayetupa uhai na hivi vyeo na yeye Mungu ndio anajua KESHO ya kila mtu.Kwa Mungu kila mtu aliyeumbwa na Mungu ni wa thamani,viongozi wanafikiri binadamu wengine hawana thamani ila wao tu.Kitu ambacho si sahihi.
 
Simama IMARA Tundu Lissu maana MUNGU ana kusudi na wewe,kazi uliyoianzisha ni wewe mwenyewe utaimaliza 💪
 
It is just a matter of time before this nobleman emerges victorious against the injustice leveled against him.

Days are coming when Samia and her accomplices will long to hold talks for peace and love with this nobleman, but it will be too late.

Time will come when family and friends of Samia will wish to extend the apologetic message to this nobleman, but nobody will allow them to do so.

I prophesize!
 
Siku hizi hatufanikiwi kwasababu tunakesha tukiomba status na kwenye posts na sio kwenye madhabahu au kwenye Nyumba za ibada
 
Siku hizi hatufanikiwi kwasababu tunakesha tukiomba status na kwenye posts na sio kwenye madhabahu au kwenye Nyumba za ibada
Uombapo usisahau kuombea watetezi wa taifa hili na pia usisahau kulia sana kwaajili ya watesi wa taifa letu pendwa.
 
Mimi nimtakie tu upambanaji mwema, lakini
-akae akijua kuwa mahakama kutenda haki si lazima yeye kushinda, bali hata kuhukumiwa kwa kupewa adhabu nayo ni sehemu ya haki.
-akae akijua kuwa, yeye kuwa na uhuru wa kufanya siasa, siyo tiketi ya kujiona kuwa wengine hawana haki ya kutokubaliana naye.
-akae akijua, kuwa upinzani siyo ticketi ya kushindwa kutii sheria za nchi na siyo ticket ya kuzuia haki za wengne kupga kura.
-akae akijua, tarehe 29 okt, tunatumia haki yetu ya kupga na kupgiwa kura na maandalizi yamekamilika kwa asilimia kubwa.
-akae akijua, sehemu aliyopo kwa sasa ni haki yake kuwepo hapo yeye na watanzania wengne pale unapofanya makosa.
-anatakiwa athibitishe kuwa yeye si mhaini na si kupga makele kama mwanamke anayebikiriwa.
-ajue kuwa, tanzania ni nchi huru, yeye kujuana na wazungu siyo tiketi ya wazungu hao kuwapangia watanzania nini wafanye kuhusu kesi za uhaini.
-ajue kuwa yeye kuwepo huko, kunatoa mwanya kwa watz wengne kuendelea kuish maana hatujui n wangap wangekfa wakat anakinukisha.
 
Mimi sina shaka yo yote naamini atashinda kesi.
Wahuni wanaichelewesha kesi ili kutompa nafasi ya kushiriki kampeni za uchaguzi.
 
Lissu hanaga Baya mtu anayepambania haki ndo mbaya afria shame on us
 
Aache kiburi na siasa za fujo, atafia magereza
 
Back
Top Bottom