Uzi Maalum wa kumpa moyo, faraja au kumtakia heri Tundu Antipas Lissu

Kwa Mh. Tundu Antipas Lissu, maneno haya yanaweza kutoa faraja na kumtakia heri:

"Mheshimiwa Lissu, katika kipindi hiki cha changamoto na majaribu, tunakumbuka nguvu zako, ujasiri wako na dhamira yako ya kutetea haki na demokrasia. Umeonyesha kuwa msimamo wako ni imara, na hiyo ndiyo nguvu ya kweli ambayo inahitaji mtu mwenye moyo wa shujaa kama wewe.

Katika kila mapambano na maumivu unayopitia, tafadhali fahamu kuwa sio wewe pekee unayeumia, bali taifa zima linakusikiliza, linakuombea na linaishi kwa matumaini yako. Viongozi kama wewe ni nadra, na kila hatua unayochukua ni ishara ya kujitolea na upendo wa kweli kwa nchi yako.

Hata kama umetengwa au umeumizwa, kumbuka kwamba nguvu ya kweli haiji kwa urahisi, bali inatokana na ukweli, haki, na mapenzi ya watu. Usiache imani yako; tunajua kuwa utashinda. Tanzania inahitaji sauti yako, na kwa hakika tutashuhudia mafanikio yako, kwa sababu unapokufaulu, ni taifa zima linalofaulu.

Tunakuombea afya njema, nguvu, na baraka katika safari yako. Tunajua kuwa hatimaye utakuwa mfano wa ujasiri na matumaini kwa kizazi kijacho. Heri ya mafanikio katika kila hatua unayoichukua, na pole kwa yote unayopitia, lakini kamwe usikate tamaa—mbali na giza, nuru yako itang'ara."

#LissuTunaMoyoNako #MoyoWaShujaa #NuruYaMatumaini
 
Ndugu

Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu,huu ni Uzi Maalum wa kutoa neno la faraja na kumtakia Heri kiongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Mh Tundu A Lissu aliyepewa kesi ya uhaini na kuwekwa death row pale ukonga huku akikumbana na manyanyaso chungu nzima kutoka Kwa askari magereza.

Kama tunavyofahamu Mh Lissu amepewa kesi hiyo ya mchongo Kwa sababu ya kupignia haki na maslahi ya taifa yanayochezewa na Wana mtandao wachache na wafuasi wao.

Hivyo Kila mpenda HAKI na MABADILIKO atoe neno lolote la faraja,matumaini na kumtakia Heri mwamba aliyeko nyuma ya nondo muda huu kwaajili ya kupigania taifa letu la TANZANIA,na Uzi huu utabaki kuwa kumbukumbu na ushahidi Kwa vizazi vyote kuanzia Cha Sasa na vinavyokuja na wote wataoandika Chochote hapa maoni Yao yatasomwa kizazi baada ya kizazi na MUNGU apendaye HAKI awabariki sana.

Stay strong TAL ✌️💪
Awe na Imani na moyo wa ushujaa maana maadui zake wajapomtesa watalala kabla yake mmoja baada ya mwingine
 
Ndugu

Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu,huu ni Uzi Maalum wa kutoa neno la faraja na kumtakia Heri kiongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Mh Tundu A Lissu aliyepewa kesi ya uhaini na kuwekwa death row pale ukonga huku akikumbana na manyanyaso chungu nzima kutoka Kwa askari magereza.

Kama tunavyofahamu Mh Lissu amepewa kesi hiyo ya mchongo Kwa sababu ya kupignia haki na maslahi ya taifa yanayochezewa na Wana mtandao wachache na wafuasi wao.

Hivyo Kila mpenda HAKI na MABADILIKO atoe neno lolote la faraja,matumaini na kumtakia Heri mwamba aliyeko nyuma ya nondo muda huu kwaajili ya kupigania taifa letu la TANZANIA,na Uzi huu utabaki kuwa kumbukumbu na ushahidi Kwa vizazi vyote kuanzia Cha Sasa na vinavyokuja na wote wataoandika Chochote hapa maoni Yao yatasomwa kizazi baada ya kizazi na MUNGU apendaye HAKI awabariki sana.

Stay strong TAL ✌️💪

Asitishe ushirikiano na mahakama kipi hakipo wazi hadi leo?
 
Mimi nimtakie tu upambanaji mwema, lakini
-akae akijua kuwa mahakama kutenda haki si lazima yeye kushinda, bali hata kuhukumiwa kwa kupewa adhabu nayo ni sehemu ya haki.
-akae akijua kuwa, yeye kuwa na uhuru wa kufanya siasa, siyo tiketi ya kujiona kuwa wengine hawana haki ya kutokubaliana naye.
-akae akijua, kuwa upinzani siyo ticketi ya kushindwa kutii sheria za nchi na siyo ticket ya kuzuia haki za wengne kupga kura.
-akae akijua, tarehe 29 okt, tunatumia haki yetu ya kupga na kupgiwa kura na maandalizi yamekamilika kwa asilimia kubwa.
-akae akijua, sehemu aliyopo kwa sasa ni haki yake kuwepo hapo yeye na watanzania wengne pale unapofanya makosa.
-anatakiwa athibitishe kuwa yeye si mhaini na si kupga makele kama mwanamke anayebikiriwa.
-ajue kuwa, tanzania ni nchi huru, yeye kujuana na wazungu siyo tiketi ya wazungu hao kuwapangia watanzania nini wafanye kuhusu kesi za uhaini.
-ajue kuwa yeye kuwepo huko, kunatoa mwanya kwa watz wengne kuendelea kuish maana hatujui n wangap wangekfa wakat anakinukisha.
Vyovyote vile Lisu anamalengo na nchi hii nawananchi tunaimani naye nayesiyo kama slowslo
 
TUNDU LISSU HANA HATIA,
AACHIWE HURU. MANENO YAKE HAYATAFUTIKA VICHWANI MWETTU NA IKO SIKU YATATUPA UJASIRI, NGUVU NA HATUTAKUA WAOGA TENA.

"TUHIMIZANE HASA VIJANA WAZALENDO WA KWELI, TUJIUNGE CHADEMA KWA WINGI SANA."
 
Ndio mwanasiasa pekee akili inaniambia, anapambania tanzania.

Wengine wooote nssmini wanapambania maslahi yao binasfi
 
Kwa Mh. Tundu Antipas Lissu, maneno haya yanaweza kutoa faraja na kumtakia heri:

"Mheshimiwa Lissu, katika kipindi hiki cha changamoto na majaribu, tunakumbuka nguvu zako, ujasiri wako na dhamira yako ya kutetea haki na demokrasia. Umeonyesha kuwa msimamo wako ni imara, na hiyo ndiyo nguvu ya kweli ambayo inahitaji mtu mwenye moyo wa shujaa kama wewe.

Katika kila mapambano na maumivu unayopitia, tafadhali fahamu kuwa sio wewe pekee unayeumia, bali taifa zima linakusikiliza, linakuombea na linaishi kwa matumaini yako. Viongozi kama wewe ni nadra, na kila hatua unayochukua ni ishara ya kujitolea na upendo wa kweli kwa nchi yako.

Hata kama umetengwa au umeumizwa, kumbuka kwamba nguvu ya kweli haiji kwa urahisi, bali inatokana na ukweli, haki, na mapenzi ya watu. Usiache imani yako; tunajua kuwa utashinda. Tanzania inahitaji sauti yako, na kwa hakika tutashuhudia mafanikio yako, kwa sababu unapokufaulu, ni taifa zima linalofaulu.

Tunakuombea afya njema, nguvu, na baraka katika safari yako. Tunajua kuwa hatimaye utakuwa mfano wa ujasiri na matumaini kwa kizazi kijacho. Heri ya mafanikio katika kila hatua unayoichukua, na pole kwa yote unayopitia, lakini kamwe usikate tamaa—mbali na giza, nuru yako itang'ara."

#LissuTunaMoyoNako #MoyoWaShujaa #NuruYaMatumaini
Lissu ni shujaa ✌️
 
TUNDU LISSU HANA HATIA,
AACHIWE HURU. MANENO YAKE HAYATAFUTIKA VICHWANI MWETTU NA IKO SIKU YATATUPA UJASIRI, NGUVU NA HATUTAKUA WAOGA TENA.

"TUHIMIZANE HASA VIJANA WAZALENDO WA KWELI, TUJIUNGE CHADEMA KWA WINGI SANA."
MANENO YAKE HAYATAFUTIKA VICHWANI MWETTU NA IKO SIKU YATATUPA UJASIRI, NGUVU NA HATUTAKUA WAOGA TENA.
 
Mimi nimtakie tu upambanaji mwema, lakini
-akae akijua kuwa mahakama kutenda haki si lazima yeye kushinda, bali hata kuhukumiwa kwa kupewa adhabu nayo ni sehemu ya haki.
-akae akijua kuwa, yeye kuwa na uhuru wa kufanya siasa, siyo tiketi ya kujiona kuwa wengine hawana haki ya kutokubaliana naye.
-akae akijua, kuwa upinzani siyo ticketi ya kushindwa kutii sheria za nchi na siyo ticket ya kuzuia haki za wengne kupga kura.
-akae akijua, tarehe 29 okt, tunatumia haki yetu ya kupga na kupgiwa kura na maandalizi yamekamilika kwa asilimia kubwa.
-akae akijua, sehemu aliyopo kwa sasa ni haki yake kuwepo hapo yeye na watanzania wengne pale unapofanya makosa.
-anatakiwa athibitishe kuwa yeye si mhaini na si kupga makele kama mwanamke anayebikiriwa.
-ajue kuwa, tanzania ni nchi huru, yeye kujuana na wazungu siyo tiketi ya wazungu hao kuwapangia watanzania nini wafanye kuhusu kesi za uhaini.
-ajue kuwa yeye kuwepo huko, kunatoa mwanya kwa watz wengne kuendelea kuish maana hatujui n wangap wangekfa wakat anakinukisha.
Hata wakati Mandela anapambana na ubaguzi wa rangi kule SA wapo waafrika wenzake walikuwa na maoni kama haya.so hatushangai!
Ila ukweli unaujua wewe. Umekubali kufanywa mjinga na watawala na akili yako imevizwa sasa kichwani kuna usaha tu.
Pole sana
 
Mwamba yupo kortini Tena leo
 
Attachments

  • titomagoti-20250818-0001.jpg
    titomagoti-20250818-0001.jpg
    125.4 KB · Views: 17
Back
Top Bottom