Uzi Maalum wa kumpa moyo, faraja au kumtakia heri Tundu Antipas Lissu

Mheshimiwa Tundu Lissu najua upo kifungoni si kwa sababu ya kosa, bali kwa sababu ya msimamo, ujasiri, na mapambano ya haki.

Wanapokufunga kwa uongo, historia inafunguliwa kwa ukweli. Wanapojaribu kukunyonya uhuru wako, wanashindwa kufuta alama uliyoacha kwa ajili ya Tanzania yenye haki, usawa, na utawala wa sheria.

Nakutakia nguvu na subira, maana kila kizazi huwa na mashujaa wake nawe ni mmoja wao. Kama walivyowahi kufungwa akina Mandela, Kenyatta, na Nyerere, wewe pia uko upande sahihi wa historia. Jela ni kuta za saruji, lakini haizuii wazo, haizuii imani, na kamwe haiwezi kuzima mwanga wa kweli.

Tunakusimamia. Hatutanyamaza. Tunazidi kupaza sauti. Maumivu yako ni kelele kwa dhamiri ya taifa. Na kama kuna waliokutupa gerezani kwa hofu, basi waambie hofu yao ndiyo ushindi wako.

Uwe na moyo mkuu, Mheshimiwa , Tanzania ya haki inakuja.
 
IMG_20250522_191741.jpg
 
TANZANIA ya HAKI inakuja 🙏
 
Mungu aliesimama na kina Meshaki na Abelnego Mungu aliesimama na Paulo na Sila basi akasimame na TAL kama alimlinda na risasi 16 basi na hili tunaenda kuuona ukuu wake na akafanye kile alichokifanya kwa adui zake tena kuanzia shahidi wa siri akaweweseke na aliyepanga nakumtuma angaangamie yeye na kizazi chake chote
 
Amen
 
Anaandika Maria Sarungi Tsehai kupitia mtandao wa x

‼️🚨TAARIFA YA TAHADHARI🚨‼️
Jamani mi kazi yangu ni kutoa tahadhari kwa umma na watu wote
Huyu mdau mwingine anayenisukumia taarifa za uhakika kanitafuta usiku huu na kasema kuna kikao kizito kimeisha na wameridhia @TunduALissu apewe sumu ya kumpandisha presha! Mi sitaki kuamini kuna mtu anawaza ujinga huu ila I never underestimate the EVILNESS of madhulmat!
Narudia ujinga ule wa presha ilipanda au kushuka ghafla hatutakubali - Lissu ni mzima na buheri wa afya ❌
@MagerezaT naendelea kuwashauri tena na tena kuweni makini maana jumba bovu litawaangukia
Msithubutu kukubali njama yoyote ovu!
Na nyie mliopanga hii njama kama kweli, mdau anasema mnampelekesha huyu mama ila ukweli ni kwamba the buck stops with her
ABORT MISSION ❌❌❌

Msifikiri tutaendelea kuwa watulivu mkiendelea na njama zenu ovu! Ishu ya Lissu ni kumwachia huru - bhas! Unga umezidi maji! You loose but tutatoka salama!

Wazalendo ndani ya mfumo do what is right!
#FreeTunduLissu #TutaelewanaTu
 
Ndugu

Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu,huu ni Uzi Maalum wa kutoa neno la faraja na kumtakia Heri kiongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Mh Tundu A Lissu aliyepewa kesi ya uhaini na kuwekwa death row pale ukonga huku akikumbana na manyanyaso chungu nzima kutoka Kwa askari magereza.

Kama tunavyofahamu Mh Lissu amepewa kesi hiyo ya mchongo Kwa sababu ya kupignia haki na maslahi ya taifa yanayochezewa na Wana mtandao wachache na wafuasi wao.

Hivyo Kila mpenda HAKI na MABADILIKO atoe neno lolote la faraja,matumaini na kumtakia Heri mwamba aliyeko nyuma ya nondo muda huu kwaajili ya kupigania taifa letu la TANZANIA,na Uzi huu utabaki kuwa kumbukumbu na ushahidi Kwa vizazi vyote kuanzia Cha Sasa na vinavyokuja na wote wataoandika Chochote hapa maoni Yao yatasomwa kizazi baada ya kizazi na MUNGU apendaye HAKI awabariki sana.

Stay strong TAL ✌️💪
Nampongeza kwa kufikishwa mahakamani
Hongera sana kwake
 
Anaandika Maria Sarungi Tsehai kupitia mtandao wa x

‼️🚨TAARIFA YA TAHADHARI🚨‼️
Jamani mi kazi yangu ni kutoa tahadhari kwa umma na watu wote
Huyu mdau mwingine anayenisukumia taarifa za uhakika kanitafuta usiku huu na kasema kuna kikao kizito kimeisha na wameridhia @TunduALissu apewe sumu ya kumpandisha presha! Mi sitaki kuamini kuna mtu anawaza ujinga huu ila I never underestimate the EVILNESS of madhulmat!
Narudia ujinga ule wa presha ilipanda au kushuka ghafla hatutakubali - Lissu ni mzima na buheri wa afya ❌
@MagerezaT naendelea kuwashauri tena na tena kuweni makini maana jumba bovu litawaangukia
Msithubutu kukubali njama yoyote ovu!
Na nyie mliopanga hii njama kama kweli, mdau anasema mnampelekesha huyu mama ila ukweli ni kwamba the buck stops with her
ABORT MISSION ❌❌❌

Msifikiri tutaendelea kuwa watulivu mkiendelea na njama zenu ovu! Ishu ya Lissu ni kumwachia huru - bhas! Unga umezidi maji! You loose but tutatoka salama!

Wazalendo ndani ya mfumo do what is right!
#FreeTunduLissu #TutaelewanaTu
The Man is at risk of being poisoned 🤢 hii siyo ya kuchukulia poa
Nampongeza kwa kufikishwa mahakamani
Hongera sana kwake
Eti Kwa sababu tu anapambania taifa zima ikiwemo Mimi na wewe
 
Back
Top Bottom