Simama IMARA Tundu Lissu maana MUNGU ana kusudi na wewe,kazi uliyoianzisha ni wewe mwenyewe utaimaliza πͺNamuombea kwa Mungu wa haki, wa mbinguni amsaidie ,Mungu yule aliyemponya na Risasi amsaidie hata sasa kwa haki yake,Mungu wa HAKI amjibu kwa haki yake.Hakuna binadamu bora zaidi ya mwingine ,Hakuna binadamu mwenye haki ya kumuua binadamu mwenzake mwingine ili hali na yeye ni binadamu hataishi milele,viongozi wetu wasijisahau kuwa na wao ni binadamu tu,Mungu ndio boss wetu ,na Mungu ndio anayetupa uhai na hivi vyeo na yeye Mungu ndio anajua KESHO ya kila mtu.Kwa Mungu kila mtu aliyeumbwa na Mungu ni wa thamani,viongozi wanafikiri binadamu wengine hawana thamani ila wao tu.Kitu ambacho si sahihi.
Time will come when family and friends of Samia will wish to extend the apologetic message to this nobleman, but nobody will allow them to do so.It is just a matter of time before this nobleman emerges victorious against the injustice leveled against him.
Days are coming when Samia and her accomplices will long to hold talks for peace and love with this nobleman, but it will be too late.
Time will come when family and friends of Samia will wish to extend the apologetic message to this nobleman, but nobody will allow them to do so.
I prophesize!
Uombapo usisahau kuombea watetezi wa taifa hili na pia usisahau kulia sana kwaajili ya watesi wa taifa letu pendwa.Siku hizi hatufanikiwi kwasababu tunakesha tukiomba status na kwenye posts na sio kwenye madhabahu au kwenye Nyumba za ibada
Wazee wa kujihesabia haki huwa mnaona wengine wadhambi nyie ndio wasafi.Siku hizi hatufanikiwi kwasababu tunakesha tukiomba status na kwenye posts na sio kwenye madhabahu au kwenye Nyumba za ibada