Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Hapana nazani hata LA 5,6 na 7 ni muhimu pia tena Sana!La Kwanza ndo angalau ni hoja , mengine ni utopolo mtupu na umbea umeandika ,istoshe yeye ni raisi kampeni kwake ni kutimiza wajibu ,.. tatizo mna vichwa vigumu Sana kama vya samaki asiyekolea viungo, ndo mana mnataman fujo na vurugu c'se ndo chadema's last stand
Mdahalo Kama utakuwa kwa lugha ya MALKIA itapendezaKichwa cha habari chahusika.
Hii ni mada maalumu ya kumtaka mgombea wetu wa CCM kufanya mdahalo na wagombea wenzie ili kupima uzito wa sera zao.
Hii itatupa fursa ya kuuliza maswali magumu na mepesi kuhusu sera zao. Katika mikutano ya hadhara hakuna fursa ya kuhoji.
Hili sio ombi ni lazima. Tunataka kuhoji mambo ya msingi ya nchi. Ikumbukwe tuliingia mkataba na rais Magufuli kupitia ilani ya CCM kwa hivyo tunataka kujua yaliyofanyika kupitia mnakasha.
Mambo ni mengi ila kwa uchache ni kuhusu:
1. Suala la ajira
2. Manunuzi ya ndege
3. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato
4. Ulinzi na Usalama ikiwepo mauaji na utekaji
5. Uhuru wa kutoa maoni na Sheria kandamizi
6. Diplomasia na mambo ya kimataifa
7. Katiba mpya
Ongezeni na mengine
Sasa naona unataka kushika nyoka mkia8. Uuzaji wa nyumba za serikali kwa wasio watumishi wa umma.
Sio kichwa mzee? 🤣 🤣 🤣 🤣Sasa naona unataka kushika nyoka mkia