Uzi Maalum wa kumtaka mgombea Urais CCM kufanya mdahalo

La Kwanza ndo angalau ni hoja, mengine ni utopolo mtupu na umbea umeandika, istoshe yeye ni raisi kampeni kwake ni kutimiza wajibu, tatizo mna vichwa vigumu sana kama vya samaki asiyekolea viungo, ndo mana mnataman fujo na vurugu c'se ndo chadema's last stand.
Inahitaji ubora katika kufikiri ili uweze kuyaelewa aliyoandika mleta hoja..Tatizo Ubora huo na uwezo wewe umepishana navyo.Huna.
 
Kwa anayoyaongea majukwaani unaona kabisa kichwani ni Empty set, labda apewe mdahalo wa kujadili masuala ya ujenzi wa madaraja
 
Mdahalo ni kwa wale wanao tafuta nafasi kwa mara ya kwanza. Magufuli alitakiwa aende kwenye mdahalo mwaka 2015 ili aulizwe atafanya nini kama akipewa nafasi.

Huwezi kumuweka kundi moja kiongozi anayetekeleza ilani ya chama chake na yule anayetaka nafasi ya kutekeleza kwa mara ya kwanza.

Lissu awasubiri kina Makamba, Mwigulu, Mbarawa na wengine wa 2025.
Si ukae tu kimya ufiche upumbavu wako.kwanini lazima uonyeshe aibu iliyojaa kichwani mwako? Kama Hujui unanyenyekea unajifunza.
 
Upumbavu Unai wewe unayelazimisha rais aliye ikulu afanye mdahalo na mtu anayetafuta nafasi.

Trump alifanya mjadala na Mama Clinton wote wakiwa wagombea wa mara ya kwanza.

Lissu awasubiri wagombea wenzake wa mara ya kwanza 2025.
 
Mdahalo ni kwa wale wanao tafuta nafasi kwa mara ya kwanza. Magufuli alitakiwa aende kwenye mdahalo mwaka 2015 ili aulizwe atafanya nini kama akipewa nafasi.

Huwezi kumuweka kundi moja kiongozi anayetekeleza ilani ya chama chake na yule anayetaka nafasi ya kutekeleza kwa mara ya kwanza.

Lissu awasubiri kina Makamba, Mwigulu, Mbarawa na wengine wa 2025.
jamani!!!! hadi huruma. mnaogopa nini kwan? uongozi wa umma ni suala la mjadala, ni majadiliano kila wakati na ndo maana unaitwa ni uongozi wa umma, si kitu binafsi, katika kutekeleza majukumu yako kama kiongozi mkuu maamuzi yanafikiwa kwa majadiliano na mashauriano na viongoz wenzio..ndo maana ya serikali. sasa kama mtu anaogopa majadiliano toka mwanzo atajadilianaje na viongozi wenziye serikalini huko baadaye akipata hiyo nafas? au anataka kuongoza kijeshi??!!!!!

na anaogopa majadiliano kwa sababu gani? anaficha nini? watanzania tujiulize sana huu uongoz wa kuombea gizan gizan una nini nyuma ya pazia?
 
Unajadiliana na yule mwenye majukumu sawa na wewe.
Rais anatekeleza sera huu mwaka wa tano huwezi kumuweka kundi moja na mtu ambaye ndio kwanza anataka awe rais.

Magufuli mweke pamoja na Kenyatta au Ramaphosa.

Lissu mweke pamoja na Makamba, Mwigulu na wengine wa kundi moja.
 
"Msichague viongozi wa upinzani, hata kama wanafaa" Jiwe, 2020.

Unatarajia mtu asiye na uwezo wa kujenga hoja, mropokaji kama huyo ndo akubali mdahalo?
Labda kama huo mdahalo uwe wake na Rungwe tu, Mheshimiwa Lissu asiwepo, maana jiwe kwa Lissu haingii hata robo kwenye hoja, ni mdogo kama piriton.
Hiyo statement ya kusema msichague viongozi wa upinzani hata kama wanafaa inaonyesha alivyo mweupe. Kuna hotuba ya mwalimu Nyerere anasisitiza sana sana kuteulia kugombea nafasi na CCM isiwe tiketi ya kuchaguliwa bali wagombea wapimwe kwa ubora. Hapa unaweza kuona tofauti ya upeo wa kuona mambo kati ya Magufuli na Nyerere.
 
Huyi mtu ni sifuri kabisa kichwani! Hata akisimamishwa na mwanangu wa mwisho aliyepo darasa la2 bado anaweza asifue dafu! Hana ushawishi wa hoja, hakubaliki, yeye ni vitisho na maguvu ya dola, tuna rais wa ajabu hajawahi kutokea!
 
Kichwa cha habari chahusika.

Hii ni mada maalumu ya kumtaka mgombea wetu wa CCM kufanya mdahalo na wagombea wenzie ili kupima uzito wa sera zao.

Hii itatupa fursa ya kuuliza maswali magumu na mepesi kuhusu sera zao. Katika mikutano ya hadhara hakuna fursa ya kuhoji.

Hili sio ombi ni lazima. Tunataka kuhoji mambo ya msingi ya nchi. Ikumbukwe tuliingia mkataba na rais Magufuli kupitia ilani ya CCM kwa hivyo tunataka kujua yaliyofanyika kupitia mnakasha.

Mambo ni mengi ila kwa uchache ni kuhusu:
1. Suala la ajira
2. Manunuzi ya ndege
3. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato
4. Ulinzi na Usalama ikiwepo mauaji na utekaji
5. Uhuru wa kutoa maoni na Sheria kandamizi
6. Diplomasia na mambo ya kimataifa
7. Katiba mpya

Ongezeni na mengine
Kukwapua KOROSHO za WAKULIMA.
Mauaji ya MKIRU
Mishahara na stahiki kwa watumishi wa umma.
Mikopo na ongezeko la riba kwa wanufaika toka 8-15
 
Unajadiliana na yule mwenye majukumu sawa na wewe.
Rais anatekeleza sera huu mwaka wa tano huwezi kumuweka kundi moja na mtu ambaye ndio kwanza anataka awe rais.

Magufuli mweke pamoja na Kenyatta au Ramaphosa.

Lissu mweke pamoja na Makamba, Mwigulu na wengine wa kundi moja.

huu mda mnaotumia hapa kukataa mdahalo mngeutumia hata kumwandalia possible questions and answers kuliko hiv mnamwaibisha kiukwel ataoneka waz ni kiongoz hana maono yoyote, kwamba anagombea tu lakin hana vision yoyote. mwandalieni hata maswali mumfanyie reharsal. mbona ni kitu rahis tu jaman? mtu umekuwa madarakani miaka mitano hujui useme nini kwenye mdahalo kweli?!! mbona hata graduate wa chuo tunaweza kwenda kwenye job interview mara ya kwanza tangu tumalize chuo tunajieleza vizur tu!! si unasema tu kile unachokijua jaman? hata kwenye pepar darasani mwalimu akiwa anakutia moyo anakwambia usiogope sana, wee andika tu kile ulichokisoma na unachokijua. acheni uoga na huku kazi mnaitaka ndugu zangu. hiyo kazi mkipewa mtaifanyaje sasa kama hamuwez hata kujieleza??!!! kazi mnaiogopa huku mnaiomba?!! hii kama si kisebusebu na kiroho papo ni ni nini hii?!!!!
 
Rais Magufuli anaheshimika dunia nzima huo mdahalo mmoja hauwezi kumpunguzia chochote.

Walisema haendi nje ya afrika na hao wazungu wanakuja wao kumuona hapa bongo.

Mdahalo ni mbwembwe tu cha muhimu ni kutekeleza sera zilizoandikwa kwenye ilani ya uchaguzi.

Lissu kama anautaka mdahalo awasubiri saizi zake mwaka 2025.
 
Kichwa cha habari chahusika.

Hii ni mada maalumu ya kumtaka mgombea wetu wa CCM kufanya mdahalo na wagombea wenzie ili kupima uzito wa sera zao.

Hii itatupa fursa ya kuuliza maswali magumu na mepesi kuhusu sera zao. Katika mikutano ya hadhara hakuna fursa ya kuhoji.

Hili sio ombi ni lazima. Tunataka kuhoji mambo ya msingi ya nchi. Ikumbukwe tuliingia mkataba na rais Magufuli kupitia ilani ya CCM kwa hivyo tunataka kujua yaliyofanyika kupitia mnakasha.

Mambo ni mengi ila kwa uchache ni kuhusu:
1. Suala la ajira
2. Manunuzi ya ndege
3. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato
4. Ulinzi na Usalama ikiwepo mauaji na utekaji
5. Uhuru wa kutoa maoni na Sheria kandamizi
6. Diplomasia na mambo ya kimataifa
7. Katiba mpya

Ongezeni na mengine
Magufuli hawezi kufanya mdahalo na vibaraka wa mabeberu

Nyie tutawapa Kabudi au Makonda mfanye nao mdahalo badala ya Profesa Magufuli
 
"Msichague viongozi wa upinzani, hata kama wanafaa" Jiwe, 2020.

Unatarajia mtu asiye na uwezo wa kujenga hoja, mropokaji kama huyo ndo akubali mdahalo?
Labda kama huo mdahalo uwe wake na Rungwe tu, Mheshimiwa Lissu asiwepo, maana jiwe kwa Lissu haingii hata robo kwenye hoja, ni mdogo kama piriton.
Meko anakwambia "Baba wa Taifa Mwl.Nyerere mlimpa miaka 27(badala ya miaka 24), akaja Mwinyi mkampa miaka 10, akaja Mzee Mkapa (Mungu amlaze mahali pema) mkampa miaka 10, amekuja Kikwete mkampa miaka 10, Mimi nina dhambi gani mnataka mnipe miaka 5 tu!?, nawaomba nipeni miaka mingine 5 zaidi"

Hizi kauli za kutia huruma ni ishara kwamba pumzi imeanza kukata rasmi.
 
Rais Magufuli anaheshimika dunia nzima huo mdahalo mmoja hauwezi kumpunguzia chochote.

Walisema haendi nje ya afrika na hao wazungu wanakuja wao kumuona hapa bongo.

Mdahalo ni mbwembwe tu cha muhimu ni kutekeleza sera zilizoandikwa kwenye ilani ya uchaguzi.

Lissu kama anautaka mdahalo awasubiri saizi zake mwaka 2025.
jaman? kwa hiyo unachosema ni kuwa maguful anaogopa mdahalo? Umeshawasiliana naye akakuambia hawez kujieleza au u amlisha tu maneno mdomon? watu kama nyie ndo mnamwaibisha mhe Rais kiukwel. mwachen ajadiliana na wenzie amwage sera. huu ndo uwanja wake azungumze na wananchi anaotaka kuwaongozna na azungumze na kijiji dunia.
 
Ulichosema juu ya kua midahalo au mahojiano maalum kwa wagombea wetu wa Uraisi hilo 100% niko nawe maana pia inatupa uwezo wa kufahamu uelewa binafsi wa mgombea na hilo ni muhimu kwetu kwa uamuzi wa viongozi wetu tunaowataka. Kwenye hayo maswali ndio yana msingi mkubwa ila nadhan unatamani hichi kipindi kifanane na msimamo wako, sina upande wowote kwa vyama, naamini ktk maslah ya wengi kuna mfumo utawekwa ili kupata maoni ya wengi ktk kipindi husika.
Kwenye huo mdahalo , magufuli lazima aseme
Hii nchi tumeibiwa sana
Tumechezewa sana
 
Huyi mtu ni sifuri kabisa kichwani! Hata akisimamishwa na mwanangu wa mwisho aliyepo darasa la2 bado anaweza asifue dafu! Hana ushawishi wa hoja, hakubaliki, yeye ni vitisho na maguvu ya dola, tuna rais wa ajabu hajawahi kutokea!
Mimi nadhani makuzi ya tangu utotoni yamechangia sana. Ni mtu anayeamini anachowaza yeye ndiyo sahihi na hapendi kabisa kuambiwa mawazo mbadala. Hivi hebu tujiulize: hata wakichaguliwa wabunge wote wawe wa CCM lakini wasipokuwa na uwezo wa kupanga mambo haoni kuwa ni hasara kubwa kwa nchi? Yeye anataka watu kina sampuli ya Kibajaji na Msukuma wenye kusema hewala kwa kila jambo analosema. Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa ni uporoji kwani kuna kila dalili amri imeshatolewa wagombea wa CCM watangazwe karibu wote bila kujali utashi wa wananchi. Hebu jamani tuwe wakweli, hii ni kwa faida ya nani kama siyo kuangamiza nchi tu?
 
Jiwe ameshadata snaweza akaropoka kwa Lissu nitakupa trilioni kumi fanya kampeni za kimyakimya niache nishinde.
 
Magufuli hawezi kufanya mdahalo na vibaraka wa mabeberu

Nyie tutawapa Kabudi au Makonda mfanye nao mdahalo badala ya Profesa Magufuli
Mkuu usiogope sana; maeneo kama haya ukiona yanakutatiza dawa yake ni unaandaa tu kibomu chako au migi 25 unaingia nayo ukumbini..waandishi wa habar watakoma wenyewe na maswali yao maaana unafungua tu migi 25 yako unawalipua tu
 
Kichwa cha habari chahusika.

Hii ni mada maalumu ya kumtaka mgombea wetu wa CCM kufanya mdahalo na wagombea wenzie ili kupima uzito wa sera zao.

Hii itatupa fursa ya kuuliza maswali magumu na mepesi kuhusu sera zao. Katika mikutano ya hadhara hakuna fursa ya kuhoji.

Hili sio ombi ni lazima. Tunataka kuhoji mambo ya msingi ya nchi. Ikumbukwe tuliingia mkataba na rais Magufuli kupitia ilani ya CCM kwa hivyo tunataka kujua yaliyofanyika kupitia mnakasha.

Mambo ni mengi ila kwa uchache ni kuhusu:
1. Suala la ajira
2. Manunuzi ya ndege
3. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato
4. Ulinzi na Usalama ikiwepo mauaji na utekaji
5. Uhuru wa kutoa maoni na Sheria kandamizi
6. Diplomasia na mambo ya kimataifa
7. Katiba mpya
8. Nyongeza ya mishahara
9. Uchumi wa kwenye makaratasi

Ongezeni na mengine
Utakae bananisha mashwali watu wasiojulikana wasikuguse maana tunataka tuijenge Tanzania tuitakayo
 
Back
Top Bottom