Uzi Maalum wa kumtaka mgombea Urais CCM kufanya mdahalo

Kwenye sheria huwa na case study,tuanzie hapa je Awamu ya ngapi ilikua na midahalo ya wagombea uraisi hapa Tanzania?

Basi kama sio Tanzania tufate mifano ya nchi jirani hapa eg Rwanda, Uganda, Kenya etc walishawah kuwa na midahalo?
 
Kichwa cha habari chahusika.

Hii ni mada maalumu ya kumtaka mgombea wetu wa CCM kufanya mdahalo na wagombea wenzie ili kupima uzito wa sera zao.

Hii itatupa fursa ya kuuliza maswali magumu na mepesi kuhusu sera zao. Katika mikutano ya hadhara hakuna fursa ya kuhoji.

Hili sio ombi ni lazima. Tunataka kuhoji mambo ya msingi ya nchi. Ikumbukwe tuliingia mkataba na rais Magufuli kupitia ilani ya CCM kwa hivyo tunataka kujua yaliyofanyika kupitia mnakasha.

Mambo ni mengi ila kwa uchache ni kuhusu:
1. Suala la ajira
2. Manunuzi ya ndege
3. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato
4. Ulinzi na Usalama ikiwepo mauaji na utekaji
5. Uhuru wa kutoa maoni na Sheria kandamizi
6. Diplomasia na mambo ya kimataifa
7. Katiba mpya

Ongezeni na mengine
Hizo ni hoja za kitoto, sana
Hiyo debate anaweza kufanya na polepole na sio magufuli kwa hilo sio size ya magufuli, hata katambi anamtosha kumjibu na kumuuliza maswali amnayo tundu.hawezi kujibu.
Mbona anamkwepa Katambi si aombe wakutane?
Na kwa kuwasaidia tuanataka aseme pesa za kuongeza kupandisha uchumi zitatokana na chanzo kipi tofauti na anavyotumia magufuli kupata pesa?
 
La Kwanza ndo angalau ni hoja, mengine ni utopolo mtupu na umbea umeandika, istoshe yeye ni raisi kampeni kwake ni kutimiza wajibu, tatizo mna vichwa vigumu sana kama vya samaki asiyekolea viungo, ndo mana mnataman fujo na vurugu c'se ndo chadema's last stand.
Sijaona uhusiano wa Chadema na mleta mada!
 
Hii inathibitisha siasa za majukwaani UPINZANI zimewashinda

Hata mdahalo hamtauweza
SIo zimewashinda. Mmewazuia kwa hila kufanya siaza za kwenye majukwaa, kiasi kwamba wanashindwa pa kusemea hoja zao. Basi ingekuwa vyema ufanyike mdahalo ili wapumue!
 
Katambi atamwakilisha JPM..
Magu hawezi kupambana na Lissu kwa hoja yoyote. Huyu jamaa udhaifu wake unafichwa tu na mavyombo ya dola yanayo mzunguka. Sina uhakika hata kama akiulizwa Historia ya ukombozi wa Tanzania kama anajua. Jamani huyu kwenye mambo ya uelewa wa mambo hawezi. Akijitokeza kwenye mdahalo na Lissu mimi nahama nchi
 
Ajira mbona wengine tumeajiriwa..we kama bado subiria..maana serimali haiwezi kuajiri kwa mara moja wakati kila siku watu wanahitimu.
 
Tuanzishe mdahalo
Hata kwa kuchangia hela uwe wa masaa ma 4 waendewagombea wa 3
Magu
Lissu
Membe
 
Naamini JPM anaweza kufanya mdahalo wa wazi kabisa,sababu anayo,uwezo anao na nia pia anayo ni swala la muda tu ukifika.
 
Kichwa cha habari chahusika.

Hii ni mada maalumu ya kumtaka mgombea wetu wa CCM kufanya mdahalo na wagombea wenzie ili kupima uzito wa sera zao.

Hii itatupa fursa ya kuuliza maswali magumu na mepesi kuhusu sera zao. Katika mikutano ya hadhara hakuna fursa ya kuhoji.

Hili sio ombi ni lazima. Tunataka kuhoji mambo ya msingi ya nchi. Ikumbukwe tuliingia mkataba na rais Magufuli kupitia ilani ya CCM kwa hivyo tunataka kujua yaliyofanyika kupitia mnakasha.

Mambo ni mengi ila kwa uchache ni kuhusu:
1. Suala la ajira
2. Manunuzi ya ndege
3. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato
4. Ulinzi na Usalama ikiwepo mauaji na utekaji
5. Uhuru wa kutoa maoni na Sheria kandamizi
6. Diplomasia na mambo ya kimataifa
7. Katiba mpya

Ongezeni na mengine
Naunga mkono hoja
 
Naamini JPM anaweza kufanya mdahalo wa wazi kabisa,sababu anayo,uwezo anao na nia pia anayo ni swala la muda tu ukifika.
Tunakushukuru sana , sasa cha kufanya mpelekee ujumbe ili asiukache mdahalo huu
 
Kichwa cha habari chahusika.

Hii ni mada maalumu ya kumtaka mgombea wetu wa CCM kufanya mdahalo na wagombea wenzie ili kupima uzito wa sera zao.

Hii itatupa fursa ya kuuliza maswali magumu na mepesi kuhusu sera zao. Katika mikutano ya hadhara hakuna fursa ya kuhoji.

Hili sio ombi ni lazima. Tunataka kuhoji mambo ya msingi ya nchi. Ikumbukwe tuliingia mkataba na rais Magufuli kupitia ilani ya CCM kwa hivyo tunataka kujua yaliyofanyika kupitia mnakasha.

Mambo ni mengi ila kwa uchache ni kuhusu:
1. Suala la ajira
2. Manunuzi ya ndege
3. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato
4. Ulinzi na Usalama ikiwepo mauaji na utekaji
5. Uhuru wa kutoa maoni na Sheria kandamizi
6. Diplomasia na mambo ya kimataifa
7. Katiba mpya

Ongezeni na mengine
Labuda hao waandishi wahamishie situdio pale ikuku siku hiyo wakamuukize maswali palepale zaidi ya hapo kutoka nje ya pale ni ngumu mno
 
Mdahalo atafanya mrithi wa JPM na wagombea wengine ifikapo 2025. Mdahalo unafanywa na wale wenye kutaka kuwa marais kwa mara ya kwanza.

Mkapa, Lipumba na wengine walishiriki mdahalo mwaka 1995 wakiwa wanautaka urais kwa mara ya kwanza. Huwezi kumweka Lissu na JPM kwenye mdahalo wakiwa na tofauti kubwa ya kimajukumu.
 
Hizo ni hoja za kitoto, sana
Hiyo debate anaweza kufanya na polepole na sio magufuli kwa hilo sio size ya magufuli, hata katambi anamtosha kumjibu na kumuuliza maswali amnayo tundu.hawezi kujibu.
Mbona anamkwepa Katambi si aombe wakutane?
Na kwa kuwasaidia tuanataka aseme pesa za kuongeza kupandisha uchumi zitatokana na chanzo kipi tofauti na anavyotumia magufuli kupata pesa?
Katambi au polepole anagombea urais wa jamhuri ya Lumumba au? Ukiambiwa wewe ni mpumbavu uwe unakubali
 
ya
Mdahalo atafanya mrithi wa JPM na wagombea wengine ifikapo 2025. Mdahalo unafanywa na wale wenye kutaka kuwa marais kwa mara ya kwanza.

Mkapa, Lipumba na wengine walishiriki mdahalo mwaka 1995 wakiwa wanautaka urais kwa mara ya kwanza. Huwezi kumweka Lissu na JPM kwenye mdahalo wakiwa na tofauti kubwa ya kimajukumu.
hii ni ajabu na kweli. yan mtu anagombea nafasi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi lakin anaogopa mjadala na wagombea wenziye!!!! dah!! hii nchi yetu hii!!!

jaman huyu mtu ashinikizwe mpaka aingie kwenye mdahalo. anataka kutuongoza lakin hatak wananchi tumhoji. hata jeshini kuna kusailiwa.
 
Mdahalo ni kwa wale wanao tafuta nafasi kwa mara ya kwanza. Magufuli alitakiwa aende kwenye mdahalo mwaka 2015 ili aulizwe atafanya nini kama akipewa nafasi.

Huwezi kumuweka kundi moja kiongozi anayetekeleza ilani ya chama chake na yule anayetaka nafasi ya kutekeleza kwa mara ya kwanza.

Lissu awasubiri kina Makamba, Mwigulu, Mbarawa na wengine wa 2025.
 
Back
Top Bottom