Uzi Maalum wa kumtaka mgombea Urais CCM kufanya mdahalo

Yaani Rais afanye mdahalo na mgombea!
Siyo kila wakati unajitoa ufahamu!
 
Rais Magufuli tunavyoongea yupo Bariadi anaeleza nini kafanya na nini atafanya.

Kwake huo ni mdahalo tosha kabisa na bado msaidizi wake Mama Samia ana endelea kuelezea mengi yanayokwenda kufanyika.
 
Mtamuua Mzee wa flyovers kwa presha jamani, chaaa😀
 
Magu hata akiwekewa mdahalo na Rungwe anatolewa kwa K.O fasta sana kwa point ya ubwabwa tu.

NB: Ubwabwa = Maendeleo ya watu/Ajira/Chakula/Maji safi ya kunywa ya uhakika.
 
Achana na huu utoto wako. Pambana na Yanga
 

Attachments

  • IMG_2631.MP4
    5.3 MB
Kwenye sheria huwa na case study,tuanzie hapa je Awamu ya ngapi ilikua na midahalo ya wagombea uraisi hapa Tanzania?

Basi kama sio Tanzania tufate mifano ya nchi jirani hapa eg Rwanda, Uganda, Kenya etc walishawah kuwa na midahalo?
Umezaliwa jana?
Hata kusoma soma huwa unasoma kweli?
Hujawahi kukutana na mdahalo wa wagombea urais uchaguzi mkuu 1995?
 
Mkuu, baada tu ya mdahalo kufanyika, unataka ifufuliwe hoja ya viwango vya kitaaluma, watu waanze kufukunyua na kuhoji elimu ya mtu nini?
 
Uliezaliwa zamani ,na kusoma soma,Leta ushahidi wa ushiriki wa mkapa kwenye huo mdahalo badala ya kuwakilishwa na Ngasongwa

Mfano leo tukitumia 1995 itajirudia ya uwakilishi na sio wagombea husika
Umezaliwa jana?
Hata kusoma soma huwa unasoma kweli?
Hujawahi kukutana na mdahalo wa wagombea urais uchaguzi mkuu 1995?
 
Tutajua nani mwoga sasa
 

Attachments

  • IMG_3205.MP4
    3.1 MB
Hv anaogopa nini😅
Mtu yeyote, hata Kibajaji au Musukuma kwa kilugha, akipambanishwa nae atamshinda tu kwa sababu hana uwezo wa kuchambua mambo hata kilugha. Hata CCM, Chama chake, wanajua hilo ndo maana Mh. Mkapa, RIP, alikuwa ndo wa mwisho kushiriki mdahalo na kufanya vizuri sana. CCM bora kiongozi wao siyo kiongozi wao bora!
 
Naunga mkono hoja, Hutyu ni dokta yaani PhD, kwa hiyo ni makali tu aingie katika mdahalo, itapendeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…