Hiyo michano yako haina tofauti na kelele za chura kwenye dimbwi la maji machafu.nyote nawaona ka ma pussy
na me ndo dildo nyie mnabakia kuwa ma lucy
nawapa buku ten mwende kwa msusi
na msisahau kutinda nyusi
Ona ulivyozipiga punch bila huruma punch gani hizo zilizolainika kama maandazi ya jana?Tazama, hamjani_tag ila ndo hivi nishazama,
Na tena, bila hiyana nawapelekea moto ile kinoma,
Nasema, mje mia kwa mmoja namba mtaisoma,
Daima, natena madini ukiyapata umepata neema,
Ona, nilivyozipiga puch hizi lines bila huruma
KijanaOna ulivyozipiga punch bila huruma punch gani hizo zilizolainika kama maandazi ya jana?
Unajiona umefanya kitu kikubwa, kumbe umekaa chini unatokwa jasho kutafuta vionjo vilivyochacha.
Neema gani unayoizungumzia hapo wakati mistari yako haina hata gauge, imepwaya kama piston kwenye injini mbovu?
Hapa ground hakuna aliyeshtuka, kila mtu anakuona kama kituko kinachotafuta kiki kwa nguvu.
Kaa kwa kutulia mzee, hapa siyo jukwaa la mashairi ya sherehe za primary.
Eti unaharisha mistari... sasa unajisifia kujamba na kuharisha jukwaani?Niko sick, naharisha mistari utadhani tumbo langu ni chuo kikuu cha kinyesi.
Nikishika biki, verse zangu MC's wananiita Lione hili Li-Messi
Uandishi hauvutiiii...Ona ulivyozipiga punch bila huruma punch gani hizo zilizolainika kama maandazi ya jana?
Unajiona umefanya kitu kikubwa, kumbe umekaa chini unatokwa jasho kutafuta vionjo vilivyochacha.
Neema gani unayoizungumzia hapo wakati mistari yako haina hata gauge, imepwaya kama piston kwenye injini mbovu?
Hapa ground hakuna aliyeshtuka, kila mtu anakuona kama kituko kinachotafuta kiki kwa nguvu.
Kaa kwa kutulia mzee, hapa siyo jukwaa la mashairi ya sherehe za primary.
Eti Real ones move in silence ,asa mbona wewe unapiga kelele kama kasuku?
Unapost 'equation' za maisha huku mfuko wako una error tupu!
Unajiona deep thinker wakati akili yako haina hata gauge ya mawazo,
Mistari myepesi, haina uzito, imepwaya kama piston kwenye ringi mbovu.
'Online superhero' ni wewe unayevizia bando la usiku uje upige kelele,
Ground unayoijua wewe ni ya kwenda kununua mshikaki mmoja na vijiko kumi vya supu,
Mtaalamu wa wapi unaandika ukiwa unatetemeka kama kuku wa mdondo?Uandishi hauvutiiii...
Vina pia haujuiii...
Pole sana anko T (Traore)
Andaa daftari na kalamu, nikiandika unageza...
Kwenye maishiri mi mtaalam, iwe kiswazi ama kingereza...
Mipasho yako kama demu, mwenye kiu ya kukojozwa
Njoo mwanaharamu, hiki kina kirefu hutokiweza...
Freestyle sio vinaKijana
Unajikuta unachana
Tena sana
Mbona huendi na vina
Umeandika insha ndefu sana, unatafuta validation,Unsema mi kasuku? Wewe ni "copy" wa copy, huna originality,
Kila bar ni recycled package, umevaa tu fake mentality.
Unasema mfuko "error"? Hiyo ni punch ya kiwango cha chekechea,
Mimi napima ubora wa bars mistari inakucjoma unateketea.
Eti akili haina gauge? Wewe huna hata calibration,
Ukikutana na multis, unaishiwa pumzi na concentration.
Piston? Engine? Hizo analogy zimekwama kwenye gearbox,
Mimi nikidrop verse, beat inaomba rewind kama jukebox.
Unasema navizia bando? Wewe unavizia validation,
Kila notification ni dopamine, ndiyo fuel ya conversation.
Ground ya mshikaki? Hiyo ni sitcom, si battle ya lyrical,
Punch zako ni za surface, zangu zinaingia ndani—surgical.
Wewe ni screenshot rapper, mimi ni live demonstration,
Ukileta mistari ya copy, narudisha pure innovation.
Verse zako ni povu, zinafura halafu zinayeyuka,
Zangu ni saruji ya lugha, kila mstari unasimama, hauyumbayumbi wala kuyeyuka.
Cypher ikianza usitaje jina langu kama kinga,
Maana nikifungua kalamu, kila punchline ni uppercut inayobadilisha mwelekeo wa mchezo mzima we mjinga.
Usipime rapper kwa makelele, pima cadence na delivery,
Mimi nikitua kwenye beat, kila mstari unafika kama certified artillery.
Leo umeingia ring ukidhani ni mazoezi ya kawaida,
Lakini umejikuta unajibu kivuli changu, wakati punch zangu bado hazijaanza rasmi kupiga acha ukuda.
Hata yule Von Bismarck Otto,Bakari Mwamnyeto
Sijui kama anapiga nyeto
Au anapiga mseto
Au anapata mchecheto
Kwa kweli mbali nimetoka na nimefika mbali,Ndege tai gani usieruka umbali wa futi mbili juu ya kiwanda cha tofali?
Unajidai unaua, kumbe hata mbu wa malaria humuwezi kwa ukweli!
Hiyo damu unayokunywa labda ni juice ya ukwaju iliyochacha stendi,
Ayatollah wa mchongo, kwenye gemu hii wewe ni bendera inayofuata upepo usio na mwelekeo.
Mistari yako myepesi kama pamba ya masikioni,
Unajiona mbabe mtandaoni, kumbe kwa shemeji yako unalala sebuleni.
Nukimkamata huyo dogo namfunga kamba,Niko na wewe mwashambwa, unayeita mama mama,
Ukitazama maisha yako Kama kitobo kilichofunikwa na nyama,
Hivi buku saba inakulipa au ndo unalalia mayai viza? 😹😹
Cc; Lucas Mwashambwa