Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Una bahati umemkuta KK kaondoka. Usingechukua raundi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]nahisi zaitun alizimia
 
Nakupata mkuu. Kinachoongelewa hapo siyo Mungu. Ni mungu na uwingi wake ni miungu. Mungu muumba mbingu na nchi ni mmoja tu na hana uwingi. God the Almighty!

Musa alipokwenda kuwakomboa Waisraeli aliwakuta Wamisri wakiabudu miungu yao. Ndiyo miungu hii inayoongelewa hapa. Wamisri walikuwa na miungu iliyotawala karibu kila kitu - mungu wa mapenzi, mungu wa anga, mungu wa mvua, mungu wa ardhi, mungu wa magic, mungu wa .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…