mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahaha itabidi jamaa amalize kazi tu hamna namna[emoji23][emoji23][emoji23]nahisi zaitun alizimia
[emoji23][emoji23]Hahaha itabidi jamaa amalize kazi tu hamna namna
Ni mambo mawili tu: Ama anahesabu hela au yupo deep kwenye magic worship and practice...[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
wapi ISIS
Hawana idadi lakini waliokuwa Na nguvu sana ndio hao akina ISIS AMUN RA HORUSNakupata mkuu. Kinachoongelewa hapo siyo Mungu. Ni mungu na uwingi wake ni miungu. Mungu muumba mbingu na nchi ni mmoja tu na hana uwingi. God the Almighty!
Musa alipokwenda kuwakomboa Waisraeli aliwakuta Wamisri wakiabudu miungu yao. Ndiyo miungu hii inayoongelewa hapa. Wamisri walikuwa na miungu iliyotawala karibu kila kitu - mungu wa mapenzi, mungu wa anga, mungu wa mvua, mungu wa ardhi, mungu wa magic, mungu wa .....
HahahahahaHahaha ilikua kifuatacho ItV isidingo
Hahaha kweli[emoji23][emoji23][emoji23]nahisi zaitun alizimia
11
HahahahahaNi mambo mawili tu: Ama anahesabu hela au yupo deep kwenye magic worship and practice...[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Pata malikesNimerudi sasa. Anayetaka likes aseme!
As usualNimerudi sasa. Anayetaka likes aseme!
As usualNimerudi sasa. Anayetaka likes aseme!