Yaan my loveNakutafuta ujue?
Ndo hiyo miungu feki wanayoikubali na kuikubali hawa....Mungu ni mmoja kwahiyo neno miungu halina nafasi labda hao waitwe kivingine maana ukweli kwa sasa wao ni wafuNakupata mkuu. Kinachoongelewa hapo siyo Mungu. Ni mungu na uwingi wake ni miungu. Mungu muumba mbingu na nchi ni mmoja tu na hana uwingi. God the Almighty!
Musa alipokwenda kuwakomboa Waisraeli aliwakuta Wamisri wakiabudu miungu yao. Ndiyo miungu hii inayoongelewa hapa. Wamisri walikuwa na miungu iliyotawala karibu kila kitu - mungu wa mapenzi, mungu wa anga, mungu wa mvua, mungu wa ardhi, mungu wa magic, mungu wa .....
Peter ODEMWINGIE
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Maisha yanakwenda kwa kasi ya 4G kipindi kifupi kilichopita vibabu viliitwa BABY kwa bashasha leo mambo yamegeuka havitoi tena pesa vimepuuzwa na kubatizwa jina la WAHENGA.
I did already!
Hata kama walikuwa na nguvu watabakia kuwa ni viumbe kama Mimi na Ww...Mungu ni mmoja tu na neno Mungu halipaswi kutumika kwa yeyote mwingine...wote hao ni viumbe tuHawana idadi lakini waliokuwa Na nguvu sana ndio hao akina ISIS AMUN RA HORUS