Hahahahaha
Ukerewe?The beautiful land of Africa
Aisee kule kwetu visiwani ni pazuri sana ukiamka asbh unapata manzari ya lake Victoria unapata viazi na mihogo ya kuchemsha au ugali Wa muhogo kwa samaki walioweka ndimu na chumvi zamu ya kwenda kuchunga imefika acha tu
Yap
Sio ubishi huu ndo ukweli..watakaowaita hivyo na wawaite tu ila Mm nawaona kuwa nguvu yao waliitumia kumkufuru muumba wao....hilo jina goddess pia hawastahili kuitwa hivyo....hao ni viumbe dhaifu tu na kwa sasa hawapo tena....kumbe wengine bado mnao upotofu huu wa kizamani....huo ni upotofu kuamini mambo ambayo hamna uhakika nayo...labda mkuu uliwaona sehemu au ni vipi...kama uliwaona hebu tuelezee japo kiufupi tu na kama hujawaona basi usiendelee kubishana kwa jambo ambalo huna uhakika naloAisee naona una ubishi wa kuzaliwa nao hao wanaitwa goddess sijasema God
Anyway kula likes ndio saizi yako haya mambo mwachie Genius one
Shimba ya