Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mbona mi namuonaga kwenye nyuziSio kazi rahisi,
JF ni sawa na maji,usipoyanywa basi utayaoga tu.
Amen. Baraka hizo na ziwepo na kuzidi tena na tena daima dumu!
Cole kakutembelea nini ?!!
Hata mimi sasa hivi tu nimemuona kwenye thread flani.Mbona mi namuonaga kwenye nyuzi
Nyingine
Hii hoja naunga mkono sometimes unakuta mtu anapima kiasi gani anakubalika reaction itakuwajeWengi sana walishaaga hapa JF tena wengine wakaanzisha na thd kabisa za kuaga ila bado wamo humu humu wala hawakutoka,
Sometimes kuaga na "kutishia" kutoka jf hutumiwa na baadhi ya member kama ni research tu ya kutaka kujua anakubalika kiasi gani humu?
Asante kwa picha mkuu,nazifuatilia sana..keep it up.
Myoyambendi