Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi akili za binadamu zinawazaga nini
Naomba nikusahihishe shemeji. Ni akili za wanaume hizi. Inasemekana eti kila baada ya sekunde 7 kwa namna moja au nyingine tunawaza ngono. Ndiyo maana hata matani mengi yameelekezwa huko.

Watu wa Evolutionary Biology wanasema kwamba instinct hii ya kuwaza ngono 24/7 kwa wanaume ni muhimu kwa binadamu kutokana na udhaifu wake wa kimaumbile (akilinganishwa na wanyama wengine) na lengo lake ni kuhakikisha kuwa anasambaza DNA kwa wingi kwa kadri inavyowezekana ili Homo Sapiens wasipotee kabisa. Hoja hii inatumiwa na wapenda michepuko kuhalalisha uzinzi wao kwa kudai kuwa wanatii natural instinct na kwamba mwanaume kamili kamwe hawezi kuwa monogamous!
 
Aisee. watu na Ego zao.

Na wengine wanaaga halafu wanarudi kwa ID mpya.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…