Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huku mtaaani kwetu Kuna jamaa analala mpaka awe na vidonge lakini Ana 50 yrs
Mtu mmoja hawezi kuwa sample bro. Ndiyo maana kuna chain smokers wana miaka 90. Na hii haimaanishi kuwa sigara hazina madhara. Wakati mwingine ni DNA ya mtu. Ndiyo maana kuna watu UKIMWI hauwagusi kwa sababu immune system yao imekaa ki-FFU sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…