Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Angalia huyu mke wa mtu anavyojichanganya hadi kwa mme wake

MUME: "Mke wangu nasikia John katembea na wake za watu wooote hapa mtaani kasoro mmoja tu!"

MKE: "Mmmh! basi huyo aliebaki atakuwa MAMA MBILINGE KISIKI, maana yule mama ndo ANAJIFANYAGA MGUMU sanaaa.!!"

Je, huyu mama angekuwa mkeo ungekuwa na swali lingine la kumuuliza?
 
Baada ya muda lina backfire!
Tayari watu wa military wanasema sasa itawezekana hata "kuzalisha" wanajeshi imara wasio na emotions kama woga na huruma. Unakuwa na hardcore soldiers kama Navy Seals au Green Barretts ambao wamekuwa designed kuanzia tumboni. Wanasema miaka 100 ijayo binadamu pengine atakuwa tofauti kidogo na ataweza kuishi maisha marefu zaidi. We won't be here [emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wavuta bangi walikua hawana kiberiti kwa ajili ya kuwashia bangi,basi wakamtuma mwenzao mmoja akaombe nyumba za jirani,jamaa kazunguka hatimaye akarudi palepale na kuwauliza *oy jaman naazma kiberiti* jamaa wakamjibu,*hata sisi kuna mtu tumemtuma akaombe hapa hatuna* bangi sio kiko.
 
Huyu mwanamke ni noma cheki alichomwambia mme wake baada ya kumnunulia nguo za ndani

Mume kaingia duka la nguo na kamnunulia mke wake chupi dazeni moja zote za rangi nyeusi, akaenda kumzawadia. Mpenzi akashukuru lakini alipogundua kuwa zote ni nyeusi si akaropoka.
MY HONEY: Sasa umeninunulia chupi zote nyeusi, sasa watu si watadhani nina chupi moja tu sibadili,

Jamaa alifura akawa kama mbogo na hapo ndipo zogo kuu lilipoanza

MUME:Watu gani hao watakaokuambia unachupi moja, inamaana unawaonyesha kitumbua changu? Leo utanambia'
Ungekuwa wewe ungefanya nini?
 
Faida 3 za uvutaji wa sigara

FAIDA KUU TATU ZA SIGARA
1. Mvuta sigara hazeeki
2. Mvuta sigara haumwi na mbwa
3. Mvuta sigara nyumbani kwake haingii mwizi

UFAFANUZI

1. Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu

2. Haumwi na mbwa kwa vile kifua na mapafu yanapooza na hulazimika kutembea na bakora

3. Nyumbani kwake haingii mwizi kwa kuwa inafika wakati ambapo halali:
atakohoa usiku kucha hivyo mwizi anajua yupo macho
kumbe kikohozi tu!
 
Jamaa kaumbuka!!

Jamaa kapokea simu kutoka kwa mke wake ndani ya daladala
jamaa: hellow hellow ( jamaa akawa hasikii vizuri ikabidi aweke loud speaker)
Mke: Umeweka wapi soksi zako yaani nyumba nzima inanuka.
 
Mume alichomjibu mchepuko wa mke wake

_ Jamaa kamuaga mkewe anaenda semina Songea kwa wiki nzima kumbe kahamia kwa demu nyumba ya pili toka kwake. Siku ya 1 kalala asubuhi alipoamka kachungulia kwake kukoje,

si kamuona jamaa yuko nje ya nyumba yake kavaa taulo lake anapiga mswaki. Akapiga kelele, 'We nani?', Jamaa akajibu, 'Mshikaji mambo ya mjini, mume wa huyu demu kasafiri kaenda Songea mi ndo najivinjari hapa'. Mume kajibu kwa uchungu, Shenzi mkubwa, ngoja nirudi toka Songea nakuua._

*Mniache mimi sipendi Ujinga Ujinga ���
 
UKIWA NA DEMU WA HIVI LAZIMA UPATE VICHOMI
Jamaa mmoja alipigwa na homa kali ya malaria mpaka akalazwa. Akiwa hospitali hali yake ilianza kuimarika.

Habari zikamfikia demu wake kupitia mashoga zake kuwa msela wake anaumwa na kalazwa hospitali.

Baada ya muda mchache, yule jamaa akapokea ujumbe mfupi;

Demu: Hello baby! Uko wapi? Kwako sijakukuta.

Jamaa: Nipo hospitali ya rufaa hapa Muhimbili nimelazwa.

Demu: Pole sana baby! Nirushie nauli na hela ya matunda nije nikuone.

Nyie wadada Mungu anawaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…