Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Ni Waafrika wenzetu kabisa hawa kama wenzetu wengine huko visiwa vya Carribean. Hata tabia tunafanana kabisa!
[emoji111]Angalia huyu bibi alivyomfanyia huyu jamaa
Bibi na Babu walisafiri wakielekea kwa mtoto wao ambae hawajamuona zamani.
Walipofika njiani wakawa wamechoka Sanaa. Wakaamua kutafuta hotel ili walale.
Wakakubaliana walale kwa masaa 4. Wakalala, Walipoamka, mfanyakazi wa Hotel akawatoza Tsh. 500,000/=
Wale wazee wakashangaa hata kama ni hotel ya kisasa lakini sio laki tano kwa masaa 4.
Babu akagoma kulipa akasema aitiwe meneja.
Meneja akaja kuwasikiliza
Babu: " Kwanini bili ni kubwa hata kama ni hotel ya kisasa?"
Manager;"kuna maswiming puli, ya kisasa "
Babu; "Lakini hatukuyatumia"
Manager; "Ah ah ah. Lakini mungeweza kama mngetaka"
Babu: "Hata hivo bado haithamini kuwa laki 5"
meneja: "Pia Kuna waimbaji kutoka sauzi, Uganda , Congo"
Babu: "Lakini sisi hatukuwasikiliza"
Meneja: "Ndiooo. Lakini mngeweza kama mngetaka"
Babu; aka give up na kumwambia mkewe andika cheki uwape,,
Bibi akaandika akampa meneja.
Meneja anaangalia anaona sh. 50,000
Akashangaa na kusema. "VP mbona hamsini'"
Bibi akajibu "450,000 ya kulala na mimi"
Meneja akajibu; "Lakini sijalala"
Bibi :"ungeweza kama ungetaka
Wakuu, hivi mnafahamu kinachoendelea Muhimbili na Kariakoo..???
Chata nalikubali sana
DuhFaida 3 za uvutaji wa sigara
FAIDA KUU TATU ZA SIGARA
1. Mvuta sigara hazeeki
2. Mvuta sigara haumwi na mbwa
3. Mvuta sigara nyumbani kwake haingii mwizi
UFAFANUZI
1. Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu
2. Haumwi na mbwa kwa vile kifua na mapafu yanapooza na hulazimika kutembea na bakora
3. Nyumbani kwake haingii mwizi kwa kuwa inafika wakati ambapo halali:
atakohoa usiku kucha hivyo mwizi anajua yupo macho
kumbe kikohozi tu!
Lionel messi la purgaArgentina
TobaaaaChata nalikubali sana
Angalia huyu mke wa mtu anavyojichanganya hadi kwa mme wake
MUME: "Mke wangu nasikia John katembea na wake za watu wooote hapa mtaani kasoro mmoja tu!"
MKE: "Mmmh! basi huyo aliebaki atakuwa MAMA MBILINGE KISIKI, maana yule mama ndo ANAJIFANYAGA MGUMU sanaaa.!!"
Je, huyu mama angekuwa mkeo ungekuwa na swali lingine la kumuuliza?
Hakuna mashindano hapaJuhud zinaendelea tunapoenda kuweka rekod very soon
Pressure on themMimi niliwahi sema huu uzi sio afya kabisa kwa ule wa Makapuku