Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*BANGI SIO CHAI*
Jamaa mmoja kaenda kuchota maji bombani akakuta akina mama wamejazana akawaza njia yakuwadanganya ili achote maji haraka; akawaambia nyie akina mama kuna watu wanagawa nyama barabarani ng'ombe kagongwa na gari. Wale akina mama wote wakimbilia huko kupata mgao wa nyama. Jamaa naye akafikiria kisha akaanza kuwafuata eti: haiwezekani wote wale wakimbilie huko inaweza ikawa kweli,nisije kosa nyama bure
 
*Wanandoa wa Kijapan wakiwa wanabishana hadharani*

*Husband: Takamushi jiku.*
*Wife :hashi jiku mishihe*
*Husband: inamoto kushini hat a pi*
*Wife: jejeta takuna mota shinita*
*Husband: kituya sitina kutara*.
*Wife: totori yatika miniya*

*Uko busy kusoma utadhani unaelewa kijapan kuwaga serious saa zingine*
 
"Ukiona kila siku anakufuata na unafanya naye ngono na unafurahia na kumsifia tu na ukiongelea kuoana anakwambia hajajipanga, ujue wewe ndio hujajipanga na limbukeni mpuuzi. Kama tangu huko anakotoka ameweza kupanga na kuwaza namna ya kungonoka na wewe usifikiri hajajipanga inawezekana kajipanga sana ila sio na wewe. Endelea subiria mshangazo uendelee na ile kauli yako ndivyo walivyo."

[HASHTAG]#Ukweli[/HASHTAG] Mgumu Mtamu#

JIPIGE PANAPOUMA


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo vipi? unajua wewe unajitafutia matatizo bure unapoongea maneno uwe unafikiria sio unajilopokea ovyo utakuja kunitafutia matatizo bure ndugu maneno uliyoongea nimeyapata na sijapenda kiukweli,mi nakuheshimu sana na tangu tumejuana sijawahi kukosana na wewe hata siku moja kama huna vitu vya kuongea uwe unakaa kimya, kuliko ulivyofanya,sio vizuri.Ni nani amekutuma umwambie Rais Magufuli eti mimi nafaa kuwa mkuu wa mkoa?
Akili yangu naijua mwenyewe inamatatizo ya Problem
 
[emoji53] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah DAR ndo kila ktu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…