Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*"Nawasihi wanaume Wenzangu kuamka na kwenda kufanya kazi ili muwaletee chakula wake zenu na c wao wawaletee chakula. Kumbuka kwa mara ya kwanza mwanamke kumletea chakula mwanaume tulijikuta tumefukuzwa Bustani ya Eden... Usisubir kufukuzwa hapo Ulipo*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UJUMBE WA LEO

Luka 6:27-28

*"Lakini nawaambia ninyi mnaosikia, Wapendeni adui zenu, watendeeni mema wale ambao wawachukia ninyi, Wabarikieni wale ambao wawalaani ninyi, waombeeni wale ambao wawaonea ninyi."*

Miongoni mwa amri alizotuagiza Mungu zimefungwa ktk amri moja kuu UPENDO.

Jambo la kumpenda na kumbariki adui yako si kitu rahisi Ila kwa msaada wa Roho Mtakatifu Atendaye kazi ndani yetu.

Yesu anataka tubadilishe mtazamo huo na kutufunza kuwa kwa kuwapenda wale wanaotupenda tu hatufanyi ziada yeyote.

Katika maisha ya ufuasi yatupasa kuishi kwa upendo na watu wote kama alivyo Mungu wetu.

MUNGU HAWABARIKI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom