*"Nawasihi wanaume Wenzangu kuamka na kwenda kufanya kazi ili muwaletee chakula wake zenu na c wao wawaletee chakula. Kumbuka kwa mara ya kwanza mwanamke kumletea chakula mwanaume tulijikuta tumefukuzwa Bustani ya Eden... Usisubir kufukuzwa hapo Ulipo*
*Mwanamke jasiri ni yule anayeweza kukopa Pesa kwenye vikoba na hela yote akamuhonga mchepuko then deni akalipa mume wa ndoa*
[emoji1][emoji39][emoji57][emoji16]