Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hata mimi siamini kwa kweli. Carba avae vigodoro?Hivi wewe ni wakuvaa vigodoro
Hahahaha...usijali[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Cole akikuelewa unijulishe
Kaenda wapi? Andjul kamtibua ama?Mdogo wako ndo kakimbia
[emoji23][emoji23][emoji23]kama nakuona unavuokodoa macho[emoji23][emoji23]na ukute ni wale wanaojua kufanya makusudi sasaCarba, mtoto akitoka kuoga na kanga yake ya india hajajifuta maji, basi unaburudika ukiangali
[emoji55] [emoji55] [emoji55]Carba, mtoto akitoka kuoga na kanga yake ya india hajajifuta maji, basi unaburudika ukiangali
Nimeridhika na flat mimi[emoji23][emoji23][emoji23]Hata mimi siamini kwa kweli. Carba avae vigodoro?
Kuweni na huruma jamani. KK hakuwa katili hivyo!GeJo sasa hivi anaimba paraboz mana kaambiwa sikuachi hata masaa mawili hayajapita jamaa kasepa[emoji23][emoji23]
Hilo ulilonalo ni lakuvalia godoroSasa si mnataka misambwanda?
Mkuu samahani sana.Kuna sehemu hazitajwi na hazigusiki kabisaaaa...Na umwambie huyo nani sijui aendage hukoo Mas....eehee huko hukoKale kakija kalisema kana kuja kwetu ila hakufika labda yupo na Nsamaka maana vijana kwa kuzunguukana .....
Naomba mumuache Cole wangu kalala jamani[emoji2][emoji2]Hahahaha...usijali