Bro Safi Sana nilindie huyu bintiHei. Ni mke wa mtu huyo ohoooo!
Kama ameweza Ku survivor kibiti basi jamaa anaweza kuwa katiliKuweni na huruma jamani. KK hakuwa katili hivyo!
Avai maujinga hayoHata mimi siamini kwa kweli. Carba avae vigodoro?
Masaki ndo yamejaa mapepo yale ya kimya kimya na manafiki haswa haswaaa bora huko ulikotaja yako wazi WaziISIS awezi kuwa na mapepo, we ushawai kuona Masaki Kuna mapepo, mapepo labda mbagala tandale tandika huko, sio Masaki kwa ISIS