Indeed my dearestNice reply
Wekundu Manchester UnitedMashetani
Thanks my dear ColeMara nying nimekuwa namkumbusha humu
Chuki hatukuzaliwa Nayo umeipata hapa duniani ukiwa mkubwa so kuiacha pia unaweza sasa mtu asomi hizi content Ana Jaa upepo tu.
Sijajuna mimiUsinune bhana my love Sema hata ukinuna Sawa maana uzuri wako hakunaga.
Huyo ni mpareAMBIELE KIVIELE HIVI UNAUNDUGU NA MWAKIPESILE
We Muongo [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] acha nikamtafute zangu mjomba wew unanichukua maelezo tu hapaMasaki ndo yamejaa mapepo yale ya kimya kimya na manafiki haswa haswaaa bora huko ulikotaja yako wazi Wazi
AsanteAsante..nawe pole ya jumapili
Uje na mumeoThank you, naja rasmi humu muda si mrefu nakuja kuweka kambi
Professor Lipumba
Itabidi nianze kuchochea upendoAndju
Carba
Mzee wa liver
Kaka shimba
Isis
Baby s
Kichwa
Chakii
Numbisa
Na mashemeji zangu wote na wale ambao sijawataja nawamis sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]subiri andjul aje hapa tuone kama hizo popcorn utazilaHahahahahahaahhah. Mimi na mahindi yangu ya kukaaanga
Haha....mzima we!?Uje na mumeo