i keep ma promise
Senior Member
- Feb 8, 2017
- 152
- 489
Time to do laundry [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] mida hii ya kumtafuta MjombaGood[emoji122] [emoji122] [emoji122] nitunze nikutunze tudumu
Ndio unatuonea wivu hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]wivu nikuonee wewe na nsamaka[emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha ni milima na mabonde,hata vyombo husigana kwenye kabati.Malaika walishindwana huko kwa Baba,wakatupwa kuzimu,kwanini mimi na nsamaka ugomvi wetu uwe habari?(tumesha kuwa Diamond na Zari!!!)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unawaza kinyume nyume shemeji. Naongelea utu. Heshima. Upole. Kujali. Ungekuwa na haya kusingekuwa na hizi safari za mara kwa mara kwenda Kibiti kumtafuta KK au pwani huko kwa Moudgulf.
Bora shemeji kaja upunguze na wivu,loh!Bora mupenzi umekuja mana nilikumiss mbaya
Hahahahaha[emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji238] [emoji243] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeitika vizuri ila umaliziaji wake mbaya.Mume wa mtu mimi ujue!!Abeee mpe......[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]nilihisi kuna mtu kaiba ID yake maana haikua kawaidaHahaha imenikumbusha siku hile kk alivyoimba gospel
Hahaha haswaaaa, tuko busy kuboresha mahusiano yetu. Sasa hv kila mtu apambane na hali yake.Maisha ni milima na mabonde,hata vyombo husigana kwenye kabati.Malaika walishindwana huko kwa Baba,wakatupwa kuzimu,kwanini mimi na nsamaka ugomvi wetu uwe habari?(tumesha kuwa Diamond na Zari!!!)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]