Ila mkuu avatar yako...daaHahahahaaaa nimeshakusamehe.Lakini kwa uelewa wangu suala la utunzaji familia halihusiani na utamaduni ila sisi wanaume tukioa tunawachukulia wake zetu kama ni watumishi wetu wa kila jambo na kazi yetu kubwa ni kutafuta chakula cha mchana na usiku basi hatuna habari ya kushughulikia kazi za ndani na kuhudumikia watoto
[emoji510] [emoji510] [emoji510]Mkuu, sisi ni waafrika. Na kwa mujibu mila zetu mwanamke ingawa siyo mashine ya kazi za nyumbani , lakini yeye ndiye msimamizi wa nyumba na yaliyomo ndani ya nyumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nani my princessMlivyokuwa mnaongea
Hahahahaha uniq na babe s wana majibu#bringbackourhochiminh#puliiiiziii muachieni mchina jamani[emoji22][emoji22][emoji22]
Amen
Kiongozi habari yako[emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji238] [emoji243] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HakikaTunafurahia sio tunapambana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]