i keep ma promise
Senior Member
- Feb 8, 2017
- 152
- 489
Asante sanaSidhani kama kuna mtu amekwazika humu mengi yanayoongelewa humu ni utani na wote tuliocomment kuhusu hiyo ishu tulikua tunasemea kwa utani
Privacy ni jambo la muhimu sana kuzingatiwa
Usijali kuhusu hilo kuwa na amani tu...mapenzi yenu yadumu
...and that's the secret of our success!
Amen kaka.That's all that matters. Mengine yote madogo! Mungu Aendelee kukubariki na kukupa furaha. Usichoke kumwombea Andjul ili azidi katika busara na upendo!
Haa sipati picha asee kama nakuona vileee [emoji15] [emoji15] [emoji15] ni kuukalia mwanzo mwisho khakhaakhaa Msomali ni kiboko ! Tehtehteh [emoji85] [emoji85]Weekend na msomali tu hakuna kingine[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mapumziko memaBaaadaye kidogo wadau
Privacy Is Respect my love carbamazepineSidhani kama kuna mtu amekwazika humu mengi yanayoongelewa humu ni utani na wote tuliocomment kuhusu hiyo ishu tulikua tunasemea kwa utani
Privacy ni jambo la muhimu sana kuzingatiwa
Usijali kuhusu hilo kuwa na amani tu...mapenzi yenu yadumu
Hahaha utjijuuiBasi tupige vigeregere
True.Fikra njema huleta matokeo mazuri
Namkodolea nani?Na aache kukodoa macho barabarani