Hata bustani mkuu? Sina kazi,nisaidieSina mashamba mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilisha lipa ila wote hatukumbuki kama tulisha lipana.nsamaka amesisitiza kuwa nilisha lipa sidaiwi...Naweka rekodi sawa umelipa utalipa
Hahahahaha
YupKasi ya huu uzi imevunja rekodi ya JF!
Hata mimi mwenyewe sijatupenda..Umeanza vizuri, ila ulivyomalizia sasa na huto tu emoji
Hahahahajamaa alimtoa out mke wake na alikuwa hana kawaida hiyo tokea wafunge ndoa, basi akaanza kuagiza vyakula mbali mbali kwa ajili ya kuburudisha tumbo, cha kushangaza mwanamke baada ya kuona gharama za vyakula ni kubwa na hajawahi kuwekewa fedha ya matumizi isiyozidi 10000/= ilibidi amuulize mume wake kama amebakisha fedha angalau ya kununulia umeme.
suala la kuwatoa out wapenzi wetu linapaswa liendelee hata kama mumeoana miaka 25 iliyopita
Ulilipa 20 bado 15. Acha ujanja shemeji. Rekodi na makubaliano yote ninayo hapa. Sahihi yako na mashahidi watano. Kama unataka kutudhulumu sema tu ila madhara yake ni makubwa sana!Nilisha lipa ila wote hatukumbuki kama tulisha lipana.nsamaka amesisitiza kuwa nilisha lipa sidaiwi...
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] mjomba naomba upatikaneCarba hanipendi kabisa,ila anaumia sana asipo niona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pamoja mkuuMlioko huko mbele msiache kunidondoshea likes mtu wenu.maana huku nyuma simuachi mtu ni mwendo wa kukupeni likes hadi vidole vyaniuma na sitachoka wala sichagui na notfcation mtaziona tu
Sent using Jamii Forums mobile app