Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli bro. Ndiyo maana nami nikajifaragua eti Mbagala is my home. Mzee yule katukuta watu tunaishi kwa amani miaka na miaka sasa hata salamu anataka tuzipitishe kwake. Hii siyo fair kabisa!
Halafu ukikumbuka vizuri mwanzoni,jamaa alikuwa hayupo karibu kama ilivyo kuwa ho chi minh na ISIS,alivyo toka Arusha...bhana bhana bhanaaa....yaani ikawa ni ubabe wa kibubu bubu tu...ghafla bubu akaongea buana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] povu lilimmwagikia ho chi minh hadi tulishindwa kuamulia(nadhani ni ile kutokuamini kuwa bubu anaongea!!!!).Ila pale Masaki unavyoenda kwake kuna kijiuchochoro,kwanini asiviziwe apigwe hata mayai viza ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…