Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe mzee wa liver alikua anamipango yake binafsi[emoji23][emoji23]dooh!mzee mbaya yule
Mimi ndio jemedari, ninaetoa chombo baharini.
Kwenye upepo Wa kusi, na mawimbi makali.
Leo weye wajifanya hodari, kwa kuvua mtoni?
Hahahahaha sijui alitaka kumaanishajeHata mimi mwenyewe sijatupenda..
Sana walahiIla mko vizuri kwa kumbukumbu
Mtoto umesha fuzu mahaba ya kipwani,hivi kwa bibiako unaendaga kweli??Mahaba baba mahaba[emoji23][emoji23]acha kabisa sasa hivi hata hakumbuki,huba la carba limemkolea hatari[emoji23][emoji23][emoji23]....long live jf kwakweli
Nipo ujue,nakuangalia tu.Mtoto umesha fuzu mahaba ya kipwani,hivi kwa bibiako unaendaga kweli??
HahahahaWAHENGA WANASEMA NZI AKIACHA UJINGA ATATENGENEZA ASALI
Jamani njooni karambezi niwape likes ya kinywaji!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hayaaaaaa!!!!amatoki gha kokya na parachichi[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]