myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwhy huku anateseka sana hd unampa moyo?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mfalme mwenye busara hii busara ya hatari
[emoji23][emoji23][emoji23]leo umenipania daahUmeanza fujo zako
Kama unatoka chimbo sogea hapa umwage likes na zile stori zako za kusadikikaNdiyo natoka chimbo bro. Kwema?
Hapana ni habari za mumeo hizoAaah kumbe ndio zenu eti eeeeh.
Mimi mpole siku zote ni vile tu huwa ananikorofishagaNikiwepo unajidai mpole, niachie muhenga wangu.
Dooo jamani ulikuwa wapi ndugu yetu? karibu tena tukupatie utamu wa likesNimewamiss humu ndani
Sawa mwanamuzikiHata uwe mzuri wa kupindukia,tabia yako ikiwa mbaya watakuchukia....
Hata mwendo uridhishe mithili ya Twiga..
Bila maelewano mapenzi hakuna kabisa..
Hata jipambe kwa vito ung'ae kama nyota...
Pasipo tabia njema popote watakufuza......
Kuishi na watu vyema hutoharibikiwa..
Milele na milele watakukumbuka....
Maisha ni tabia njema chochote utapata.......×2
Heshima kijana tanguliza kwanza mbele....
Jeuri mbaya oooh..×2
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo majukwaa mengine wanadurusuHekaheka za watu kutoka makazini zimeanza watu wamepungua ama?