Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee hafai,shimba alimuamini kweli mzee wa ini, hadi akampa kitengo cha data...kumbe mzee wa ini ana lengo moja tu, fuatilia nyendo za Malikia...
Yaani huwezi amini. Sasa hata nikitaka kumsalimia malkia inabidi niombe ruhusa kwa Mzee wa Ini. Itabidi nimuombe malkia aniombee special clearance kwa mzee. Ni shida kwa kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…