mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahha lipa deni dai risitiMtiririko wa salaam na maombi umeenda vizuri sana.Umeharibu mwishoni kwenye deni.... Hata hivyo ahsante sana
HahahahahaNi kweli bro. Ndiyo maana nami nikajifaragua eti Mbagala is my home. Mzee yule katukuta watu tunaishi kwa amani miaka na miaka sasa hata salamu anataka tuzipitishe kwake. Hii siyo fair kabisa!
Mwombee njaaMpende...[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni nani anayeletaga ishu ya mahari hapa?Nisisamehewe ila nipewe nafasi ya kutafuta na niyalipe bila EFD (matangazo)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Muhimu usifukue makaburiPost ni nyingi lakini hapana budi kugonga likes
Ati nini?
Ndio chemical formula ya Uzi huuKaribu mkuu pande hizi kusiko na stress. Unatoa likes unapokea likes...
Tuhurumie mkuu...Hahahahaha