Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hero albumMaria Carey
Thriller albumMichael Jackson
Destine childBeyoncé
Pole shemeji Mungu akufanyie wepesi...nimekaona RB ipo hapa[emoji23][emoji23][emoji23]Nipo shemeji. Sijisikii vizuri leo lakini nipo. Hata kakishua nimekaona!
Celline DionR Kelly?
HahahahahaHalafu ukikumbuka vizuri mwanzoni,jamaa alikuwa hayupo karibu kama ilivyo kuwa ho chi minh na ISIS,alivyo toka Arusha...bhana bhana bhanaaa....yaani ikawa ni ubabe wa kibubu bubu tu...ghafla bubu akaongea buana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] povu lilimmwagikia ho chi minh hadi tulishindwa kuamulia(nadhani ni ile kutokuamini kuwa bubu anaongea!!!!).Ila pale Masaki unavyoenda kwake kuna kijiuchochoro,kwanini asiviziwe apigwe hata mayai viza ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yani wahenga hawakukosea waliposema undhaniaye ndiye kumbe siyeKweli inakatisha tamaa na wale marafiki kulia chozi la kinafik
Hata katreni kamoja moja kila mtuhuenda tukapata noah au tukaambulia maneno ya ovyo muda si mrefu kutoka kwa mwenye nchi
[emoji23][emoji23][emoji23]subiri akusikie kama hujalala mahabusu leo[emoji23][emoji23][emoji23]Usifanye hivyo carba,ni upepo tu...atapita.Pulizzzz