mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Sijui kama nitaiwahi mana sa2 ndo natoka kazini[emoji22][emoji22]Kesho mbili usiku
Yaani huyu anduje ni shida sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa unaroho mbaya[emoji23][emoji23][emoji23]nakumbuka cole alijitolea kupata ban kisa kuna pimbi alikuja kumuita ISIS gaidi
Asante shemeji. U mtu mwema sana!Pole shemeji Mungu akufanyie wepesi...nimekaona RB ipo hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha shimbaMzee wa Masaki kama vile namuona. Mpaka gego la mwisho wallahi !!!
AMUN RA5:33
AMUN RA
Mkeo anaogopa nitavunja ndoa yenu[emoji23][emoji23][emoji23]sijui nabeba[emoji378][emoji378][emoji379][emoji379][emoji380][emoji380]...ila kutokuaminika kwako kunanipa shida mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utakuwa mbali au utakaa na mimi mbali???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nahisi kama tayari vilee!!!!
DuuUnaanza hivi "Malkia ISIS habari yako....(kwa hisani ya mzee wa liver)". Lakini usione ajabu salaam yako ikajibiwa na mzee wa ini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakumbuka kuna siku tulikesha hapa,ISIS alikuwa anawasubiria wageni wake,walifika usiku.Kesho ukamuuliza mama kama wageni wamefika,bila kutarajia,nikashangaa mzee wa liver anajibu " ndio wamefika"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kweli Masaki haitamuacha mtu salama